2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha simu badae saa 7 mchana, itasoma muda iliongia kwako ndio muda iliotumwa, yaani sent saa 7 na recieved saa 7. Kwenye kitochi Itasoma sent saa 4 recieved saa 7.
3. Umesajili namba kwa NIDA na ukipiga customer care wanataka uthibitishe kama ni wewe. Kama sio mie huyo anaepiga kidole changu katoa wapi?
4. Weka yako
Ila point ni kuwa baadhi ya maendeleo ya Teknolojia yanapoteza vitu muhimu sana.