Hakuna chenye faida kikakosa hasara mkuu. Watu naroot ili kuipa uwezo zaidi cm mfano kunabaathi ya programms huwezi kuweka kwenye cm yenye android version 2.2 inaanza version 4.xx hivyo mtu anaona bola aroot ili awezeshe cm yake.
App nyingine kama blackmart yenyewe inadownload app ambazo ni zakulipia bure lakini mpaka cm iwe rooted kwahiyo mtu anaona aroot ili afaidi.