Faida na hasara ya vitanda vya chuma

We ni mpumbavu kila din na misingi yake
 
huwa vinapiga kelele?
Inategemea mkuu, hivo vya laki 2 au 3 vinapiga kelele na havipendezi. Bora nichukue cha mbao laki 3 kuliko cha chuma laki 3. Mimi nazungumzia vya bei hiyo maana uwezo wa kulalia kima cha kati cha mshahara sina.
 
unaonaje baadala ya kulala kitandani ulale chini tu, weka godoro chini lala sakafuni na sakafu yako weka zulia za manyoya..

Zipi faida na hasara za kulala kwenye kitanda..?
 
Plz naomba bei ya kitanda cha chuma 5*6 kwa dar
 
Natumia kitanda Cha chuma ni kizuri kuliko Cha mbao maana Kiko juu vizuri una enjoy, na hakilii kwichi kwichi Sana ka Cha mbao, pia easy kudeki mvunguni
 
Kinacho bonyea ni godoro au ni chaga?
 
Zamani kulikuwa kuna vitanda vya chuma vinalia kwichi kwichi
 
Vitanda vya chuma ni vizuri sanaa, pia ni imara
Kitanda cha chuma ni babu kubwa sana, faida za ziada hakifugi kunguni, check Cha kwangu hichoView attachment 1551508

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Natumia kitanda Cha chuma ni kizuri kuliko Cha mbao maana Kiko juu vizuri una enjoy, na hakilii kwichi kwichi Sana ka Cha mbao, pia easy kudeki mvunguni
Vitanda vya chuma havifai chumbani kwasababu ya temperature (c°)

Wataalamu wa hotels & Other comfortable rooms wanasema kitanda na materials mengine ya mbao ni nzuri sana vyumbani kwasababu havipati baridi na haibadilishi atmosphere ya chumbani.

Ndio maana materials yote ya Mbao ni ya gharama sana kuanzia Europe mpaka Afrika.

In Health point of view, inashauriwa kama chumbani kwako kuna tiles basi ukitumia kitanda cha chuma kutakuwa na baridi inayokuathiri kifua ukiwa usingizini hata kama huifeel.

Usiku chuma inapata baridi sana na kama upo usingizini ukageuka unaweza kugusa kitanda usingizini unaishia hapo mbaya zaidi kwa watoto wadogo.

In short, ''Wooden things are always best furniture than Metal ones''
 
Kumbe kwa daslam kizuri hiki
 
Vitanda vya chuma tumelalia tangu secondary Hadi chio kikuu hamna kibaya kilichotupata, kwanza zamani wazee walilalia ngozi na tukazaliwa sembuse sasa hivi
 
Vitanda vya chuma tumelalia tangu secondary Hadi chio kikuu hamna kibaya kilichotupata, kwanza zamani wazee walilalia ngozi na tukazaliwa sembuse sasa hivi
Mashuleni wanaweka vya chuma kwasababu ya Uimara, vitanda vinalaliwa na watu wengi na miparangano ni mingi ila hawazingatii mambo ya kumcomfort mtu

Ndio maana kwenye hotels kubwa sio rahisi ukute Metal beds, hata mashuka ya hotels ni ya standard tofauti na home sheets kwa mfano Royal sheets ndizo first choice ya hotels kubwa, magodoro pia ni same case kama ya restonic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…