Faida na hasara ya kufunga ndoa na jini

Wengine hawaamini bhana
Sasa mkuu umeleta taarifa nzuri tena muda muafaka kama huu January halafu husemi jinsi gani tutawapata hao majini? Acha kubana tupe namba zao basi tumalizane wenyewe.
 
Havionekani kwa macho na nyama,sasa vinaonekana kwa chombo gani??? This is incredible rubbish.
 
Hamna umezingua[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Wewe ndo unazingua,thibitisha tutayaonaje hayo majini halafu yakionekana tuyapige picha za video ili kila mtu ayaone.
 
Wewe Client,umefunga ndoa na jini? Kama jibu ni ndio tunaomba utuoneshe huyo jini wako na utajiri unaoumiliki.Hii mada imekaa Kiarabu arabu.Kama nilivyotangulia kusema mada hii haichangamani na elimu ya sayansi na wote na watu wote wanaoshabikia mambo ya kusadikika wamepungikiwa na elimu ya sayansi kwa kiwango kikubwa.Angalia Mwaarabu mwenyewe ambako ndiko chimbuko la haya madudu amekuwa mtu mweupe wa mwisho duniani kwa ujinga kisayansi na kiteknolojia.Hakuna kitu chochote anachoweza kutengeneza Mwarabu,hata pini ya kufungia nepi hawezi.Kila kitu anafanyiwa na wazungu.Mafuta anachimbiwa na wazungu,majengo mazuri yanajengwa na wazungu,miundo mbinu imejengwa na wazungu na mambo ya anasa zote anafanyiwa na wazungu.Kutokana na kupungukiwa na elimu katika nyaja zote mzungu amemlundikia zana za kivita za kila aina na sasa Waarabu hawana kazi yeyote zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe katika vita kali inayoendelea hivi sasa katika nchi karibu zote za Kiarabu.Wanatakiwa waachane na mambo ya kusadikika ya majini na kuigeukia sayansi na teknolojia ya ukweli.
 
Majini wako wa aina nyingi
 
Sasa mkuu umeleta taarifa nzuri tena muda muafaka kama huu January halafu husemi jinsi gani tutawapata hao majini? Acha kubana tupe namba zao basi tumalizane wenyewe.
Utapata usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…