Faida na hasara ya kufunga ndoa na jini

Wapo hao weng sana mi ninae mmoja asli ya kiharabu anitwa zaujathi hint mablucki ana nisaidia sana hub mwaka Wa 8 namiliki vtu vyake vngi ikiwa A/c yake ya ujinini inayo niwezesha kupata pesa ambzo unatumia kwa kupangiwa,(kabla ujafa.......?)
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Tobaaaa

Dunia ina Mengi
 
Poaaa mpe hi mkeoooo.

Mwambie hakunaga ushemeji..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Client rekebisha kwanza lugha,tunaandika 'JINI/MAJINI'.Hakuna kamusi ya kiswahili yenye neno JINNI/MAJINNI.Katika wingi 'majini' inaweza kuwa na maana mbili ambazo ni maana ya kwanza ni yale maji tunayokunywa au kuoga na maana ya pili ni mapepo.Tofauti ya maneno haya ni katika matumizi ya sarufi matamshi kwa kutumia kiimbo.Kiimbo ni utaratibu wa kutamka maneno kwa kupanda na kushuka.Kwa mfano,barabara ni njia pana itumiwayo na magari,lakini neno hilo hilo ukitamka kwa kutumia kiimbo yaani kupanda na kushuka litaleta maana nyingine ambayo ni sawa sawa.Km nimempiga barabara yaani nimepiga sawa sawa.Haya tukirudi kwenye mada yako ya kufunga ndoa na jini na kupata mafanikio mbali mbali mimi naona hizi ni habari za KUSADIKIKI.Kwa binadamu anaeishi katika ulimwengu wa sayansi hawezi kuamini upuuzi huu ambao ni sawa na mtu anaanzisha porojo kusubiria ugali uive ale halafu aende kulala.Huyu bwana client tukimwambie athibitishe kisayansi kwa kutuonesha hayo majini atashindwa atabaki kusema hua hayaonekani.Kama hayaonekani yeye au wengine wenye uwezo wa kuyaona wanatumia vyombo gani kuyaona.Hii mada haina maana yeyote kwa mtu mwenye akili kamili.
 
Jini anaonekana, anakuja kwa sura ya kibinadamu tena ya kupendeza.
Tatizo kuu hapa shule ndogo.Asilimia kubwa ya watu wanaoshabikia vitu ambavyo havionekani ni wale wenye elimu duni kinara akiwa bwana Client.
 
Unajua mkuu kuna viumbe wanaoonekana na wasioonekana sawa??ndo mana wakatoliki katika sala zao husema Mungu muumba wa vitu vinavyoonekana na visivyoonekana xo vitu vya ulimwengu wa roho huwez ona kwa macho ya damu na nyama mpk vitakapojidhibitisha kwako zenyewe
 
Tatizo kuu hapa shule ndogo.Asilimia kubwa ya watu wanaoshabikia vitu ambavyo havionekani ni wale wenye elimu duni kinara akiwa bwana Client.
Hamna umezingua[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Umeshawahi kuwaza siku mkiachana itakuwaje, jaribu kuumuuliza siku moja anamjua Yesu? na je kama mali napesa vyote ni vyake wewe chako nikipi? Na umewahi kumuuliza ukifa utakwenda mbinguni/Rahani au motoni/matesoni na wewe mwenyewe hunahofu na hayo?
Wengine hawaamini bhana
 
Maisha magumu sana aisee, mimi najitoa mhanga nisaidie maana sikuhizi hata wanaume tukiwezeshwa na Majini tunaweza!!![emoji4]
 
Tatizo kuu hapa shule ndogo.Asilimia kubwa ya watu wanaoshabikia vitu ambavyo havionekani ni wale wenye elimu duni kinara akiwa bwana Client.
kuna kila dalili za kuambiwa mungu naye hayupo,maana haonekani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…