Faida na hasara ya kuchagua eneo la kukuzikia baada ya kifo ni zipi?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Wadau,

Naomba tujadili kidogo hii tabia ya wapendwa wetu ambao hutoa tamko kuwa nikifa nizike sehemu fulani.

Ninajiuliza hii ina faida yoyote au hasara kwa huyo mpendwa wetu iwapo atazikwa sehemu tofauti na aliyotaka?

Kama zipo ni zipi? Je kuna madhara yoyote yatawapata wale waliokaidi tamko lake? Kama zipo ni zipi?
 
Ha ha ha nasikia kunawatu husema mnizike paleee. Sasa ati usipo fuata huyo mtu atakuwa anakujia usiku kama kizuka au atakuwa anafufuka usiku
 
dah bhas kama mtu ukizikwa.mahala ambapo hukusema unakuwa unafufuka usiku bhas mm nitawambia wanizike sehem ambayo najua hawataweza ili nipate nafasi ya kuwa naludi kuiona dunia maana inazidi kuwa tamu!!!!
 
Back
Top Bottom