David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,784
- 9,299
Habari za jioni?
kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba mlandizi na nikafungua pharmacy home k/njaro.Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu,
hasara nilizopata ni mil 3 tu.
leo nimeweka mkeka wa laki 2,madrid win na hull city win
hongera david me bado mambo hayajakaa poa nina mda mrefu sana bila mafanikio ila naamini iko siku Mwenyezi Mungu atanifungulia neema zake. kwma na wewe ulisuasua basi naamin iko siku tuu.Habari za jioni?
kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba mlandizi na nikafungua pharmacy home k/njaro.Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu,
hasara nilizopata ni mil 3 tu.
leo nimeweka mkeka wa laki 2,madrid win na hull city win
Tayari Hull city wanaongoza 2 bila na mpira ni halftime
hongera david me bado mambo hayajakaa poa nina mda mrefu sana bila mafanikio ila naamini iko siku Mwenyezi Mungu atanifungulia neema zake. kwma na wewe ulisuasua basi naamin iko siku tuu.
madrid amechana mkekaTayari Hull city wanaongoza 2 bila na mpira ni halftime
UmeliwaHabari za jioni?
kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba mlandizi na nikafungua pharmacy home k/njaro.Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu,
hasara nilizopata ni mil 3 tu.
leo nimeweka mkeka wa laki 2,madrid win na hull city win
Hiyo bet 365 unabett kwa njia ipi mkuu?mi nimenunua hiace kwa pesa ya kubeti na nimefungua supermarket ndani ya mwaka mmoja tu..thanks bet365
uliweka ticket price kiasi gani mkuu??madrid amechana mkeka
uliweka ticket price kiasi gani mkuu??
Habari za jioni?
kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba mlandizi na nikafungua pharmacy home k/njaro.Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu,
hasara nilizopata ni mil 3 tu.
leo nimeweka mkeka wa laki 2,madrid win na hull city win
mungu yupi unaesubiri akufungulie neema kwa kucheza kamari wakati yeye kaikataza? fanya kazi kijana acha uvivi na kusubiri vya burehongera david me bado mambo hayajakaa poa nina mda mrefu sana bila mafanikio ila naamini iko siku Mwenyezi Mungu atanifungulia neema zake. kwma na wewe ulisuasua basi naamin iko siku tuu.