Faida 7 zinazopatikana kwenye mbegu ya Parachichi

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
1620393171890.png

Utafiti unaonyesha kuwa mbegu ya parachichi inakiwango cha asilimia 65 cha amino acids na pia ina kiwango kikubwa cha fiber ukilinganisha na vyakula vingine.

FAIDA ZA MBEGU YA PARACHICHI

1- Inapambana na tatizo la arthritis, sababu mbegu ya parachichi ni anti-inflammatory ( inatabia ya kupambana na vichochezi)
2- Mbegu ya parachichi inaondoa gesi tumboni na kuvimbewa, husaidia kukata kuharisha. Mbegu hii hutumika kutengeneza madawa yanayopambana na infections kwenye mwili wa binadamu na matatizo ya matumbo.
3- Utafiti pia unaonyesha inapotumiwa huongeza viwango vya collagen, hivyo hupambana na kuzeeka kwa kuifanya ngozi yako kuwa imara na isiyo na mikunjo.
4- Inaimarisha kinga ya mwili, hivyo husaidia kuzuia magonjwa yasikupate.
5- Ni effective sana katika kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini ( fat burning), na inachangia kupunguza uzito kwa haraka zaidi.
6- Ina kiwango cha juu cha nguvu ( energy) hivyo mtumiaji atakuwa kamili na ng'a ng'ari siku nzima.
7- Mbegu ya parachichi inazuia vivimbe ( tumors) sababu inakiwango cha Flayonol.

Pia mbegu ya parachichi inatoa sumu mwilini na ina tibu vidonda vya tumbo ANGALIZO: Ikiwa wewe ni allergic na mbegu za matunda ama parachichi, tafadhali wasiliana na daktari wako Kabla ya kutumia.
 
Tunaandaa vp hiyo mbegu...au unatafuna tu
 
Matumizi yake tafadhali,elekeza
 
Umakini unahitajika kwa mtu mwenye presha ya kushuka.
Na MWENYE mwenye hiyo presha ya kushuka anaweza TU kuitumia endapo ataikausha na Kisha kuikaanga kidogo Kama wafanyavyo soy.
ANGALIZO; shauriana na daktari wako kabla ya matumizi
 
Mkuu umetoa angalizo kwa wenye preassure ya kushuka, ina maana hii mbegu hushusha zaidi preassure au kuna jambo jengine.
 
Ahsante hata Mimi nilishasikia tetesi kuwa inatibu vidonda vya tumbo ila sikijua Ni vipimo gani vinatumika ili uweze kuitumia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom