Fahari ndio mama wa ujinga

kwani walipowapa pilau na t shirt mulizani hela wanaokota ndo wanajirudishia gharama zao au munaposema tukobize hatuwezi kwenda kuwapigia watu kura ndo kubali matokeo ya watu kukuchagulia kiongozi si ulikua bize na mi nasema bado sana kuleni kuleni ili ile mijinga huenda ikazinduka au wakamaliza ubize wa kuuza karanga na big g ili siku moja wajue umuhimu wa kupiga kura.
 

Unajua mda mwingine najiuliza hili, hivi mpaka uwe kiongozi unayetembelewa na uwatembelea viongozi wa mataifa makubwa masharti ya visa yako ni lazima uwe na wananchi wenye maisha kama picha hizo zinavyoeleza!!!? au ni UJINGA wakutokujua nini maana ya UONGOZI?
 
samsun si kosa lao wanahitaji kuelimishwa na kamwe chama chawala hakiwezi kufanya hivyo bali upinzani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…