Fahamu

Mtume Moh'd ni kweli aliwahi kuugua macho?
 
Hakuna ushahid unaoonesha kama aliugua macho japo baadhi wana zuoni kudai hivyo
 
Reactions: y-n
Kuungama maana yake nini? ni wakati gani mtu anatakiwa aungame? nani ambaye anatakiwa uende kuungame kwake? kwa nini iwe kwa huyo mtu na si vinginevyo? je kuna ruhusa ya kuungama mwenyewe?

Naomba unisaidie ndugu...maana niliweka thread humu sijui mods wameipeleka wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…