Fahamu zaidi kuhusu Vanguard na Rav 4 model ya 2009- 2014

One of the best thread.....Hongera Mkuu kwa Uchambuzi makini.Unavutia kusoma na kuelewa zaidi mambo hayo.

Tunaendelea kuzichanga...lazima tufike huko.
 
KIMOMWEMOTORS, 'Kwa wastani Outlander hutumia lita moja kwa km 12.5 ikiwa kwenye 4WD na kama utatumia 2WD inaenda mpaka km 14.5 kwa lita.'

Bro acha kuongelea consumption za hayo magari kwa ku-Google,weka hapa consumption yake halisi kwny mazingira yetu ya kila siku.
 
'Kwa wastani Outlander hutumia lita moja kwa km 12.5 ikiwa kwenye 4WD na kama utatumia 2WD inaenda mpaka km 14.5 kwa lita.'

Bro acha kuongelea consumption za hayo magari kwa ku-Google,weka hapa consumption yake halisi kwny mazingira yetu ya kila siku.
Boss, mi nimeongelea ya google ni vizuri na busara nawe ukaongelea consumption kwa mazingira yetu ya kila siku. Hili ni darasa huru sote twajifunza
 
Clugar na harrier ipi ni imara nataka nijitoe muhanga hapo au pia nissani extrail new model na hizo kati ya cluger na harria.

Vuta Subaru Forester angalau 2008 mkuu utanikumbuka cc1990 turbo safi kabisa . Wenye hayo hapo juu wengi wanatamani Sub SUV hutajuta
 
Vuta Subaru Forester angalau 2008 mkuu utanikumbuka cc1990 turbo safi kabisa . Wenye hayo hapo juu wengi wanatamani Sub SUV hutajuta
Screenshot_20191212-111824~2.jpeg
 
Back
Top Bottom