FAHAMU: Utajiri wa IVAN (Ex wa Zari) kabla ya kifo chake, alisaidia watu na kutumia hela kwa anasa

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Kabla ya kifo chake Ivan THE DON alikuwa na utajiri wa hatari pamoja na kumiliki majumba ya kifahari na magari ya bei kubwa sana.
Akiwa bado hai alisaidia watu wenye shida kwa kuwapa Fedha na vitu mbalimbali na pia aligawa fedha akiwa katika kumbi za starehe na wanawake na vijana katika Club na Casino Mbalimbali.
Amekufa akiacha watoto watatu aliozaa na Zari thebosslady mchumba wa Diamond platinum.
Tazama baadhi ya utajiri wa IVAN TheDon hapo chini.

Ukimaliza Mkuu tunakuomba utuwekee pia na Umasikini wa Kutukuka aliokuwa nao Yule Omba Omba wetu Matonya.
 
Daaah! nimeona comments za waganda wengi wakimsemea vizuri sana huyu jamaa kua alikua mkarimu sana,kwakweli inabidi tuliobaki tujifunze kitu kutoka kwake ambacho nikusaidia wahitaji bila yakujali umri wetu R.I.P Ivandon.
 
Kabla ya kifo chake Ivan THE DON alikuwa na utajiri wa hatari pamoja na kumiliki majumba ya kifahari na magari ya bei kubwa sana.
Akiwa bado hai alisaidia watu wenye shida kwa kuwapa Fedha na vitu mbalimbali na pia aligawa fedha akiwa katika kumbi za starehe na wanawake na vijana katika Club na Casino Mbalimbali.
Amekufa akiacha watoto watatu aliozaa na Zari thebosslady mchumba wa Diamond platinum.
Tazama baadhi ya utajiri wa IVAN TheDon hapo chini.

Utajiri wenyewe uko wapi hapo chini
 
Back
Top Bottom