OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
hahaha msela yuko ewani....View attachment 380230
.. Nani kakuambia simba hagegedi kwa starehe...? Ukitaka kujua ni kwa nini wanapeana mambo kila dakika cheki hapo.. We huoni hadi dume anafunga macho sababu ya kitu tamuuuuu...
Ndugu simba wanakiamua kula mnyama wa aina yoyote wanakula.kumbuka simba ndio muuaji mkubwa Wa watoto Wa tembo.faru na kiboka.twigaDuuuhh simba anaua Tembo ndo naskia sa hiv
Wanyama wanaokula nyama na mimea wakiwepo binadamu wengi wao wakiwemo simba hawala wanyama wanaokula nyama nadhani nature ndivyo ilivyoAsante wakuu tumejifunza mengi,swali langu ni kuwa,inakuwaje wanyama pori wengine tunakula na wengine hatuli?mfano simba,je pengine umeshafanyika utafiti kuwa aina fulani za wanyama zinafaa kuliwa na zingine hazifai au tunabahatisha tu?
Ni watoto na sio tembo mkubwa hawanauwezo huo wala kwa faru.Ok kumbe watoto
Kumbuka wanyama awafanya ngono kwa starehe kama sisi.wao mpaka wanawake wapate joto la kushika mimba na dume anapewa taarifa na jike kwa ishara zao maalumu
Ndio dume ndilo linawajibikaatakama majike yatakuwa kumi yeye ndio atakayewabebesha mimba tuu.kwanini awe yeye dume atawauwa wale watoto ambaosio wake na ndio maana baada ya miezi mitatu simba anakuja kuwatambulisha watoto aliojifungua kwa baba yao halisi sasa dume ajua kbsa kama niwake au sio nakama sio wake anawauwa.Mkuu
Hilo nakubaliana na wewe,
Swali langu ni kuwa; Kwenye pride moja kuna uwezekano wa majike wengi je hili dume litakutana nao wote katika muda tofauti wakiwa kwenye joto?
Hakuna lolote hapomkuu kuna tetesi kwamba mnyama simba huwa ana hirizi ambayo inasemekana huwa anaitema muda mwingine na kuimeza tena, je kuna ukweli wowote kuhusu hilo?
Ndo maana yanga wanamuogopaDuuuh!!! ,ndo maana yangu wanamuogopa
Ni kweli wanauwezo wa kumshusha lakini shughuli itakuwa kwenye kumla kutokana na ugumu wa ngozi yake