Fahamu undani wa mnyama simba

Si kweli!! Kwa kawaida simba dume anayemiliki familia akishazeeka hunyang'anywa ile family na madume pinzani ambao hawana family na yeye atafukuzwa kwenye familia na kwenda kuishi maisha ya kivyake (solitary )

Mkuu:
Simba anaye ishi kivyake (solitary) kutokana na uzee anajitegemea vipi, kwa sababu sidhani kama ana uwezo na mbinu za kuwinda, ikizingatiwa ni mara chache kumpata binadamu.
 
Kwa speed hiyo basi simba hawezi nikamata nikiwa na bajaji au kwa miguu
 
Mkuu:
Simba anaye ishi kivyake (solitary) kutokana na uzee anajitegemea vipi, kwa sababu sidhani kama ana uwezo na mbinu za kuwinda, ikizingatiwa ni mara chache kumpata binadamu.
Kwa kawaida simba madume wanaoishi solitary huwa wanawinda wenyewe lakini wakishafanikiwa kumiliki familia ndo huanza kulindiwa na simba majike
 
Na vipi kuhusu utofauti Wa simba wanaopatikana manyara national park na Wa sehemu nyingine? Kwasababu wanauwezo Wa kukwea juu ya miti tofauti na Wa sehemu nyingine.
Hawana tofauti na simba wengine ila kinachowafanya wao kukwea miti ni utofauti wa mazingira. Wao hukwea miti ili waweze kuona kwa uzuri wanyama wakuwawinda kwa sababu hifadhi ya lake manyara maeneo mengi ni forest tofauti na mazingira ya Ngorongoro crater na Serengeti national park ambayo ni tambarare (Plain area ). Sababu nyingine ni kwamba simba wa manyara hukwea miti ili kukwepa usumbufu unaosababishwa na wadudu aina ya tsetse fly ambao huwauma. Ukibahatika kutembelea hifadhi ya Tarangire au manyara utakutanaa na hawa wadudu yaani ni wadogo ila wanauma sana
 
Nasikitika kuwa mdudu Yanga tumemkodisha kwa kipindi cha miaka kumi.....ukitaka kujua habari zake muone ndugu Manji au mkewe au hata mwanawe maana ndio wamiliki halali wa mnyama Yanga......
Sio mmiliki wa mnyama yanga... Manji ni mmiliki halali wa ndala
 
 
Daaah!! Umenikumbusha mbali sana. Kutembelea hifadhi ya tarangire na manyara inahitaji kuchukua tahadhari kubwa. Tulimpima kila aina ya ugonjwa,tukidhani labda huu ugonjwa Wa kisasa. Na Hosp nyingi hawakuwa wakimpima huo ugonjwa nahisi kwasababu ya mazoea ya kutoku uexprience kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…