Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

Ndugu yangu kwani wewe huwezi kununua hizo dawa ili ufanye jaribio ili ulete taarifa ya utafiti wako
 
Mkuu.. usiangaishwe na maumbile yako madogo relax.. hizi dawa huwa zinafanya kazi 100% ila madhara yake ni mengi na makubwa na hayana suruhu.. utakuza uume utakuwa mkubwa kama unavyohitaji ila utakuwa hausimami sawa sawa kama mwanaume kweli yaani utakuwa unasimama lege lege na hata kuingia utakuwa hauingii vizuri.. ila kama hiyo hali inakutesa tafuta tu dawa utumie.. maisha yenyewe mafupi haya just enjoy mkuu hatushikiani maisha
 

Watafute wanaigeria wana dawa nzuri sana..
 
Hakuna dawa ya namna hiyo ridhika na ulichonacho
 
hizo zipo, nenda umasaini (achana na hawa masai wasusi wa mjini hata ukikuta mzee wengi fiksi tu) nenda kule ndani ndani watakupa dawa unachanganya kwenye supu mzee muda sio mrefu kitu inatiki, vinginevyo uende kongo(kama unarafiki yako dereva muagize atakuletea) wao pia wanazo na wenzetu huko ni kawaida sio issue wala nini.
 
mimi naombeni dawa ya kupunguza machine.
kina dada mnakuja DM kutafuta nini,naombeni dawa
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Atakua anaingiza kama utambi kwenye taa ya chemli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wamasai saiv wanakunywa Energy hawa hawana madawa washakuwa vishoka!
 
Watafiti wanapingana na wahusika wa hayo matendo, ukweli ni kwamba binadamu wanatofautiana kimaumbile, wapo wanawake ambao hawafiki kilele iwapo hawatapata a thick and long pen, na wapo wanaume ambao wanakiri wazi kuwa ikipwaya hawapati kabisa excitement
 
mimi naombeni dawa ya kupunguza machine.
Vipo vyakula vinapunguza kwa kiasi ukubwa wa machine endapo vikitumika kwa wingi, inasemekena ndio sababu ya wahindi kuongoza kuwa vibamia kwa sababu ya matumizi ya muda mrefu ya hivyo vitu kama matumizi ya Soya.
 
Hakuna dawa ya namna hiyo ridhika na ulichonacho
Utasemaje mtu aridhike na alichonacho na hali hajazaliwa nacho? Mbona haturidhiki na maradhi bali tunaenda hospitali kupata tiba? Maumbile madogo sio wote wanazaliwa nayo wengi inawatokea hivyo kwa sababu mbalimbali kama punyeto au sababu zengine za kiafya, sasa kama dawa za kurudisha hali yake ya kawaida zipo shida inakuwa wapi?
 
Tafuta kufuri inayo endana na funguo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…