🙏🙏🙏Umeelezea kifupi ila vizuri sana maeneo utakapopita huo mradi, serikali isikae kulia lia itafute pesa wakamilishe huo mradi, waanze kwa kupunguza posho za wabunge kwa siku, wabunge wakipiga kelele wapunguziwe na mishahara yao, kama bado haitatosha wauze angalau ndege tano za ATCL.
Duh hii ni kweli kabisaSerikali ya Kenya ilimtuma waziri wake wa mambo ya nje juzi kuja kuomba mkopo wa shilingi trillion tatu.
Waziri wetu wa fedha alisema watawapa huo mkopo kwa madharti nafuu sana.
Wakati huo huo serikali ya Tanzania imetoa msaada wa shilingi bilioni Saba kwa saccos za wajasiriamali nchini Israel. Waziri mkuu wa Israel ameishukuru serikali ya Tanzania na kutuhakikishia atadumisha utafiki uliopo Kati ya serikali hizi mbili.
Hizi bange bora tu zihalalishwe ili tusivutie toilet 😂😂😂Serikali ya Kenya ilimtuma waziri wake wa mambo ya nje juzi kuja kuomba mkopo wa shilingi trillion tatu.
Waziri wetu wa fedha alisema watawapa huo mkopo kwa madharti nafuu sana.
Wakati huo huo serikali ya Tanzania imetoa msaada wa shilingi bilioni Saba kwa saccos za wajasiriamali nchini Israel. Waziri mkuu wa Israel ameishukuru serikali ya Tanzania na kutuhakikishia atadumisha utafiki uliopo Kati ya serikali hizi mbili.
Lakini mkuu si unakumbuka tren iliyo kua haitembei miaka mingi yeye kafanya itembeeKweli kanda ya Kaskazini mwendazake alikuwa hatupendi. Yani miji ya kimkakati (strategic regions) kama Arusha, Tanga na Kilimanjaro aligoma kabisa kuweka kata robo kilometer ya SGR?
Hatari sana yule mzee kwa ukanda na ukabila.
Nateseka kutokea kanda maalum.
Sawa ila hiyo treni haina tija kwa maendeleo katika karne hii ya 21.Lakini mkuu si unakumbuka tren iliyo kua haitembei miaka mingi yeye kafanya itembee
Congo gani tena
Ngoja tusubiri upepo wa mamaSawa ila hiyo treni haina tija kwa maendeleo katika karne hii ya 21.
Haiwezekani treni itumie masaa zaidi ya 12 kwa umbali wa kilometer 600 wakati kuna treni zinazoweza kutumia masaa matatu tu umbali huo huo.
Hayo matreni ya zamani yangewekwa tu kwenye museums kama kivutio cha utalii.
Ndio ujue kuna watu ni wendawazimu nchi hii, hata Magufuli alishasema mbona, ni walevi na mataahira. Ujenge Bagamoyo halafu SGR inafanya kazi gani, itabeba nini toka Dar port? Au ndio tusema pesa zote za SGR ndio zimepotea bure?Swala la kusubiri