Dunia imegawanyika katika sehemu kuu tatu
1.Vitu halisi vinavyoweza kuthibitishwa na milango ya fahamu ya binadamu mfano kiti,mlima, nguo,nyumba,mnyama,binadamu mwenzako,nyota,sayari n.k.Pia vitu kama hewa,umeme,radi ambavyo kuna njia za.kisayansi kuweza kuvipima.
2.Vitu/hali visivyo halisi ambavyo vimejengwa tu katika akili za watu mfano dini, taifa, utamaduni, uzalendo, nchi, mifumo ya kifedha.Hizi ni dhana ambazo wanadamu wameziunda kutokana na kuambiana story kwa muda mrefu lkn sio vitu halisi hasa bali dhahania tu.
3.Vitu/hali zilizo katikati ya vitu halisi na visivyo halisi mfano hisia za mapenzi, huruma, familia, aibu, haya n.k
Namba 2 hapo subiri wajeDunia imegawanyika katika sehemu kuu tatu
1.Vitu halisi vinavyoweza kuthibitishwa na milango ya fahamu ya binadamu mfano kiti,mlima, nguo,nyumba,mnyama,binadamu mwenzako,nyota,sayari n.k.Pia vitu kama hewa,umeme,radi ambavyo kuna njia za.kisayansi kuweza kuvipima.
2.Vitu/hali visivyo halisi ambavyo vimejengwa tu katika akili za watu mfano dini, taifa, utamaduni, uzalendo, nchi, mifumo ya kifedha.Hizi ni dhana ambazo wanadamu wameziunda kutokana na kuambiana story kwa muda mrefu lkn sio vitu halisi hasa bali dhahania tu.
3.Vitu/hali zilizo katikati ya vitu halisi na visivyo halisi mfano hisia za mapenzi, huruma, familia, aibu, haya n.k
Kuna mguinea Bissau mmoja alipigana na mnigeria kisa huyu mpopo aliikandia Guiné BissauKuna kitu nimekiona kiko namba 2 (uzalendo) na kama kipo tena namba 3(hisi za mapenzi) japokuwa misamiati ni fofauti.
Kwangu mimi uzalendo ni hali yakupenda kitu na kuwa tayari kufanya lolote juu ya hicho kitu. Mfano unaposema mimi ni mzalendo unamaanisha wewe unapenda kitu fulani kinachopendwa na wengi mfano labda waipenda tanzania inayopenda wa watanzania na uko tayari kufanya lolote juu ya hiyo hali ya uzalendo uliyonayo juu ya tanzania.
Sasa upande wa pili wa hisi za mapenzi naona ni sawa na uzalendo , maana hisia au upendo wa kitu fulani hutofautiana mtu mmoja na mwingine. Utakutana na mtu ni mtanzania anipenda nchi yake hata kufikia mahali kuamua kupigana , na vivyo hivyo kwenye mapenzi nwingine yeye yuko tayari kunywa hata sumu juu ya hali ya hisia aliyonayo kwenye kitu anachokipenda.
Mimi naona point ya uzalendo na hizi za mapenzi zote kama zinaingilia kutokana na hali ambazo hazielezeki na hutofautiana mtu na mtu
Ni mtazamo tuu !
Yaah!Kuna kitu nimekiona kiko namba 2 (uzalendo) na kama kipo tena namba 3(hisi za mapenzi) japokuwa misamiati ni fofauti.
Kwangu mimi uzalendo ni hali yakupenda kitu na kuwa tayari kufanya lolote juu ya hicho kitu. Mfano unaposema mimi ni mzalendo unamaanisha wewe unapenda kitu fulani kinachopendwa na wengi mfano labda waipenda tanzania inayopenda wa watanzania na uko tayari kufanya lolote juu ya hiyo hali ya uzalendo uliyonayo juu ya tanzania.
Sasa upande wa pili wa hisi za mapenzi naona ni sawa na uzalendo , maana hisia au upendo wa kitu fulani hutofautiana mtu mmoja na mwingine. Utakutana na mtu ni mtanzania anipenda nchi yake hata kufikia mahali kuamua kupigana , na vivyo hivyo kwenye mapenzi nwingine yeye yuko tayari kunywa hata sumu juu ya hali ya hisia aliyonayo kwenye kitu anachokipenda.
Mimi naona point ya uzalendo na hizi za mapenzi zote kama zinaingilia kutokana na hali ambazo hazielezeki na hutofautiana mtu na mtu
Ni mtazamo tuu !
Uko sawaKuna kitu nimekiona kiko namba 2 (uzalendo) na kama kipo tena namba 3(hisi za mapenzi) japokuwa misamiati ni fofauti.
Kwangu mimi uzalendo ni hali yakupenda kitu na kuwa tayari kufanya lolote juu ya hicho kitu. Mfano unaposema mimi ni mzalendo unamaanisha wewe unapenda kitu fulani kinachopendwa na wengi mfano labda waipenda tanzania inayopenda wa watanzania na uko tayari kufanya lolote juu ya hiyo hali ya uzalendo uliyonayo juu ya tanzania.
Sasa upande wa pili wa hisi za mapenzi naona ni sawa na uzalendo , maana hisia au upendo wa kitu fulani hutofautiana mtu mmoja na mwingine. Utakutana na mtu ni mtanzania anipenda nchi yake hata kufikia mahali kuamua kupigana , na vivyo hivyo kwenye mapenzi nwingine yeye yuko tayari kunywa hata sumu juu ya hali ya hisia aliyonayo kwenye kitu anachokipenda.
Mimi naona point ya uzalendo na hizi za mapenzi zote kama zinaingilia kutokana na hali ambazo hazielezeki na hutofautiana mtu na mtu
Ni mtazamo tuu !
Namba 2Kama hujaongelea dunia ya giza na mambo yake basi bandiko litasalia burudani chai.