Fahamu njia watumiazo wanawake waliosonga umri kuwapata wachumba kanisani

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari JF mapenzi.

Wadada wengi waliosonga umri hupenda kutafuta attention kwenye mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kanisani ili waonwe na wakaka au wababa wasioa. Njia hizi ni:

1. Kuchelewa kwenda kutoa sadaka, anaenda mwishoni huku watu wote wamemaliza ili kila mtu amwone.

2. Kuchelewa kushiriki Ekaristi takakatifu kwa wale wa Rc kwa minajili ileile anakuwa wa mwisho kabisa, akichelewa kidogo anaweza kukuta padri au sister anajiandaa kurudisha ekaristi iliyobaki.

3. Kuvaa nadhifu kabisa kama binti wa heshima na ikiwezekana nguo zibane mwili kama kaumbika, kama hajaumbika atavaa kadri ya mwili wake.

4. Amalizapo kutoa sadaka au kula ekaristi huja pole pole ktk kiti chake kwa mwendo wa madaha huku akiangaza macho kwa watu wa pande zote kanisani.

5. Huvaa miwani japo sio wote kuimarisha muonekano.

6. Humsalimia kila aliye jirani yake kanisani kwa sauti ya chini haswa vijana wa kiume kama ibada haijaanza

7. Aghalabu/Mara nyingi viatu vyao hutoa mshindo au kelele atembeapo.

8.Endelea.........
 
Mungu akinijalia mtoto wakike sijajua nifanyeje kwakweli asipitie kadhia wanayopitia binti wa nyakati hizi , ila mimi nawaombea heri njema kwa kweli maana najribu kufikiri kama ingekua ni mimi
Mkuu wanapata tabu Sana.
Na bahati mbaya waoaji wenyewe hakuna.
All in all waliofikiria kuoa mke zaidi ya mmoja walikuwa na akili Sana.

Ubinafsi wao umewafanya waendelee kuteseka na kuishi kwa msongo wa mawazo.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari JF mapenzi.

Wadada wengi waliosonga umri hupenda kutafuta attention kwenye mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kanisani ili waonwe na wakaka au wababa wasioa. Njia hizi ni:

1. Kuchelewa kwenda kutoa sadaka, anaenda mwishoni huku watu wote wamemaliza ili kila mtu amwone.

2. Kuchelewa kushiriki Ekaristi takakatifu kwa wale wa Rc kwa minajili ileile anakuwa wa mwisho kabisa, akichelewa kidogo anaweza kukuta padri au sister anajiandaa kurudisha ekaristi iliyobaki.

3. Kuvaa nadhifu kabisa kama binti wa heshima na ikiwezekana nguo zibane mwili kama kaumbika, kama hajaumbika atavaa kadri ya mwili wake.

4. Amalizapo kutoa sadaka au kula ekaristi huja pole pole ktk kiti chake kwa mwendo wa madaha huku akiangaza macho kwa watu wa pande zote kanisani.

5. Huvaa miwani japo sio wote kuimarisha muonekano.

6. Humsalimia kila aliye jirani yake kanisani kwa sauti ya chini haswa vijana wa kiume kama ibada haijaanza

7. Aghalabu/Mara nyingi viatu vyao hutoa mshindo au kelele atembeapo.

8.Endelea.........
NgojA WAJE VIGAGURA.
 
Kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom