Fahamu Njia 10 za kumpa Raha Mpenzi wako Kitandani, Wasichana na wavulana pia hapa ujue.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Moja kati ya njia ya kukaa na mpenzi wako ni kumfanya awe na furaha muda wote haswa kipindi mkiwa kitandani. Kwanza mpetipeti na kumuandaa kwa kumpa maneno matamu muda wote muwapo pamoja siku zote na sio kutoa maneno makali.
Hatua zote za kufanya zimeelewa hapa
 

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,439
2,000
Mpe hela wewe,maneno clouds kwa kibondo huko yapo hata hiyo kanga inayo tayari,shida ni hela.
 

Nurudin Jr

Senior Member
May 25, 2017
182
225
Joseverest itakuwa robot lake Leo limezima chaji yaani hadi time hii sijaona comment katika haya mambo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom