Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Luku niliyo nayo ni ya kawaida ipo juu sana ambapo mpaka niweke ngazi ndipo naifikia, je kuna uwezekano wa kuuziwa luku nitakayotumia kama remote ili niondokane na shida ya kupanda juu kwa ngazi kila ninapoingiza umeme?
Hahahaha Bora uendelee kupanda ngazi hizi za rimoti huwa inafika muda zinasumbua na kutojaza umeme, itakugharimu.
 
TANESCO hivi hakuna namna yakumfanya mpangaji wa fremu alipe umeme ukisha kwake pasipo kukatika kwa wapangaji wengine.Nauliza hivi nikijua mfano huna fremu za biashara unakuwa na mira kubwa alafu wapangaji kila mmoja anakuwa na mita yake umeme ukisha,wanaweka umeme baada ya kusoma matumizi ya kila MTS,kwanini msije na mfumo wa kila mtu anaweka umeme kama vocha ukisha unaisha kwake na sio kwa wapangaji wengine wa fremu.
 
Muwe mnatupa elimu kama hizi mara kwa mara hata na Mashirika mengine mfano TRA,NIDA,W/AFYA,BIMA,BANK nk.
 
Mm nlisoma humu kuwa wenye matumizi yasiyo fikia unit 70 kwa mwezi hulipoa unit moja kwa 100. Kwenye nyumba ninayoishi tunatumia umeme chini ya 50 unit kwa mwezi ila tunalipia 345 kwa unit 1. Naomba kufahamishwa juu ya ghalama hizi
Wateja wetu wengi wamekuwa wakijiuliza iwapo wamefungiwa mita sahihi kutokana na matumizi yao ya umeme? Ama mita ambazo wamefungiwa ni za Viwandani na kulalamika wanatumia umeme mwingi zaidi tofauti na matumizi wanayotumia

Mita za LUKU zinazofungwa majumbani ni sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ufungaji wa mita za majumbani hutegemea sana upimwaji wa matumizi /mahitaji ya umeme katika nyumba husika.

Mteja anafanyiwa tadhimini kabla ya kuunganishiwa umeme, wakati wa uunganishaji wa umeme inaangaliwa maombi kama Mteja ameomba kufungiwa njia moja (single phase) ama njia tatu (three phase) na haiwezekani Mteja aombe njia moja ya umeme afungiwe njia tatu.

Iwapo matumizi ya umeme ya Mteja yakiongezeka kufika unit 7500 hapo atalazimika kutumia mita za njia tatu (three phase) zenye uwezo wa Volts 400 kutoka mita ya njia moja yenye Volts 220 -250.

Wateja wengi hawafahamu hasa anapo tumia umeme ukafikia units 300 anadhani TANESCO ilikosea kumfungia umeme/mita. Sio kweli, kinachotakiwa ni Mteja kuwa na matumizi mazuri ya umeme ili kupunguza gharama.

Aidha, mita za LUKU za njia tatu kwa baadhi ya Wateja wenye mahitaji makubwa ya umeme wamefungiwa majumbani mwao hasa ambao tangu tathmini inafanyika ilionekana mahitaji ya umeme yatafika units 7500 maeneo mengine ni ya Kibiashara na ambako matumizi ya umeme wa njia moja hautofaa huwa wanafungiwa huo wa njia tatu.

Kwa wastani wa units 10 usiku na 6 mchana maana yake Mteja ana zaidi ya units 300 kwa mwezi yaani 16x30 utapata units mia nne (400) hayo si matumizi madogo, pia yapo mambo mengi ya kuyaangalia linapokuja suala la matumizi ya umeme, cha kwanza hiyo mita iko sahihi? TANESCO huwa inapima mita kulingana na maombi ya Mteja, ikiwa itagundulika kuwa mita ni mbovu Mita hiyo huondolewa eneo la Mteja, na Mteja atasahihishiwa account zake kulingana na kile kipindi mita haikusoma ipasavyo,

Jambo la pili ni Mteja anatakiwa kukagua mfumo wa umeme wa nyumba yake na kuhakikisha hakuna hitilafu (leakage) yoyote inayo pelekea umeme kuvuja na kumuongezea matumizi Mteja (Wiring system) na pia Mteja kuhakikisha earth load iwe shaba halisi.

Tatu ni vifaa anavyo tumia Mteja vina uwezo gani wa kutumia umeme? Nirahisi ku hesabu umeme tunaotumia na kutoa malalamiko kwa TANESCO, na Shirika litafanya ukaguzi ili kubaini matumizi hayo pengine ni sahihi, kila kifaa kina kiasi cha umeme kinachotumia kwa dakika ama masaa kadhaa. Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msg ic-002 halafu token inakataa, tatizo nini ? Nisaidie, leo ni siku ya 3 nipo gizani
 
Naomba kuuliza swali kufuatana na kipengere hiki
Mimi mni mteja ninayeangukia kundi hili,lakini nikinunua umeme wa elfu kumi
Napata unit 28 na point kidogo,lakini nikipiga mahesabu haya uliyotuwekea
natakiwa nipate kama uniti 34 hivi,ni kwa nini inakuwa hivyo?
Huenda kuna gharama za EWURA, VAT etc ni kwanini msichukue hizo gharama
zote mkakokotoa kwa mkaziongeza kwenye hiyo 292 tukaambiwa ukweli halisi wa bei ya unit badala ya kutenganisha
gharama?Igeni mfano wa wafanyabiashara wa maduka kama sukari unaambiwa bei ya kilo,ukitaka mchanganuo ndo utaambiwa
mambo ya VAT,au kwenye vituo vya mafuta ya magari.bei ya lita imeandikwa kama ilivyo,ukipewa risit ndo unakuta mgawanyo wa
hiyo fedha uliyolipa.na ninyi igeni mfano huo.Asante.
Mkuu nimepitia thread zaidi ya tatu. Nataka ninunue umeme units 75 kamili bila kuzidi bila kupungua na sijui ni shilingi ngapi. Yaani nataka jumla jumlisha ewura vat na ile 1% nataka nijue total wamekwama sana Tanesco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wateja wetu wengi wamekuwa wakijiuliza iwapo wamefungiwa mita sahihi kutokana na matumizi yao ya umeme? Ama mita ambazo wamefungiwa ni za Viwandani na kulalamika wanatumia umeme mwingi zaidi tofauti na matumizi wanayotumia

Mita za LUKU zinazofungwa majumbani ni sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ufungaji wa mita za majumbani hutegemea sana upimwaji wa matumizi /mahitaji ya umeme katika nyumba husika.

Mteja anafanyiwa tadhimini kabla ya kuunganishiwa umeme, wakati wa uunganishaji wa umeme inaangaliwa maombi kama Mteja ameomba kufungiwa njia moja (single phase) ama njia tatu (three phase) na haiwezekani Mteja aombe njia moja ya umeme afungiwe njia tatu.

Iwapo matumizi ya umeme ya Mteja yakiongezeka kufika unit 7500 hapo atalazimika kutumia mita za njia tatu (three phase) zenye uwezo wa Volts 400 kutoka mita ya njia moja yenye Volts 220 -250.

Wateja wengi hawafahamu hasa anapo tumia umeme ukafikia units 300 anadhani TANESCO ilikosea kumfungia umeme/mita. Sio kweli, kinachotakiwa ni Mteja kuwa na matumizi mazuri ya umeme ili kupunguza gharama.

Aidha, mita za LUKU za njia tatu kwa baadhi ya Wateja wenye mahitaji makubwa ya umeme wamefungiwa majumbani mwao hasa ambao tangu tathmini inafanyika ilionekana mahitaji ya umeme yatafika units 7500 maeneo mengine ni ya Kibiashara na ambako matumizi ya umeme wa njia moja hautofaa huwa wanafungiwa huo wa njia tatu.

Kwa wastani wa units 10 usiku na 6 mchana maana yake Mteja ana zaidi ya units 300 kwa mwezi yaani 16x30 utapata units mia nne (400) hayo si matumizi madogo, pia yapo mambo mengi ya kuyaangalia linapokuja suala la matumizi ya umeme, cha kwanza hiyo mita iko sahihi? TANESCO huwa inapima mita kulingana na maombi ya Mteja, ikiwa itagundulika kuwa mita ni mbovu Mita hiyo huondolewa eneo la Mteja, na Mteja atasahihishiwa account zake kulingana na kile kipindi mita haikusoma ipasavyo,

Jambo la pili ni Mteja anatakiwa kukagua mfumo wa umeme wa nyumba yake na kuhakikisha hakuna hitilafu (leakage) yoyote inayo pelekea umeme kuvuja na kumuongezea matumizi Mteja (Wiring system) na pia Mteja kuhakikisha earth load iwe shaba halisi.

Tatu ni vifaa anavyo tumia Mteja vina uwezo gani wa kutumia umeme? Nirahisi ku hesabu umeme tunaotumia na kutoa malalamiko kwa TANESCO, na Shirika litafanya ukaguzi ili kubaini matumizi hayo pengine ni sahihi, kila kifaa kina kiasi cha umeme kinachotumia kwa dakika ama masaa kadhaa. Inashauriwa Mteja kutumia vifaa vinavyotumia umeme mdogo (Energy Server), pia inashauriwa kuepuka vifaa vya mitumba sababu vingi vinatumia umeme mwingi.
Tumieni lugha rahisi kama unit 1 mpaka 50 tozo ni kiasi kadhaa unit 51 mpaka 100 gharama huongezeka kiasi kadhaa na unit 101 mpaka 200 unakuwa tarifu fulani, hii ingetusaidia kuelewa.
 
Wateja wetu wote katika Jukwaa hili mita zinazofungwa kwa wateja kwa sasa zote ni zile zinazofungwa kwenye nguzo Wassion na aina nyingine ni EDMI ndizo zinazo patikana katika ofisi zote za TANESCO .

Mita hizo zote zinatumia remote au kiwasilianishi kama wengine wanavoita na remote hizo zipo za aina mbili kuna zile zinazo hitaji kuchomekwa ukutani kwenye socket switch ndio uingize umeme na kuna zile ambazo si lazima chomeke ukutani kwenye swichi ndio uweke umeme,aina hii ya pili hutumia antena kuwasiliana na mita remote hizo zote zina ubora sawa.

KUHUSU Tarrif mgawanyo wa makundi ya matumizi ya umeme unafanyika kutokana na kiwango cha matumizi ya mteja mfano kuna mtu kauliza kuwa kwanini mtu mmoja anauziwa unit moja sh 100 na mwingine ni zaidi ya hapo , jawabu ni kuwa makundi ya matumizi yapo kama ifuatavyo

Kundi la kwanza ni wale wateja wanao tumia unit ambazo hazivuki units 75 kwa mwezi, wateja hawa mara nyingi ni wale wenye matumizi madogo kabisa wengi wao hawa a vifaa vingi vya umeme mostly wako vijijini .wateja hawa hulipia unit moja shs 100 kama atatimiza kigezo cha kuto vuka units 75 kwa mwezi . na ikiwa atavuka units 75 kila unit inayo zidi baada ya zile 75 za mwanzo atachajiwa tshs 350 , na ikiwa mteja huyo atavuka units 75 kwa miezi mitatu mfulululizo mteja huyo atahamishwa daraja na kwa mashatri hayo mteja huyo hataweA kurudi daraja hili dogo tena.

Kundi lapili ni lile la wateja wanao tumia units zaidi ambao huanzia units 0 283.4 hadi hawa ndio wale wanao itwa Tarrif 1 hawa bei ya units ni shs 292 nahapa atatumia mita ya single phase yenye volts 220 -250 au ataweza kutumia ile ya three phase ile yenye volts 400 ikiwa atakuwa anamatumizi yanayo fikia units 7500 katika kundi hili bei inafanana kwa units hizo zote .

na kundi la tatu ni lile la wateja wa matumizi ya kati ambao hutumia units zaidi ya hizo 7500 na bei ya units moja ni shs 195 kwa unit moja na kundi la nne ni kundi la wateja wakubwa ambao unit moja wanauziwa shs 157 hawa hutumia umeme mkubwa sana mfano wale wanao jengewa line kabisa ya 33 Kv etc wateja hawa pamona na kundi lile la wateja wa kati wote huchajiwa kitu kina itwa KVA charges ambayo ni constant like kwa wale wa T2 tarrif 2 ni tshs 15004 na T3 ni 13200 nii ni ile gharama ya kiwango cha juu cha mahitaji tunaita maximum demand charges

Watu wengi au nyumba nyingi zinakuwa hapa 0 hadi 283 units sijui kikokotoo gani kimetumika hapa kuwauzia unit kwa 292 wakati wale wakubwa wa 7500 kuwa shilingi 192

Kwanini unit ileile iuzwe bei tofauti kwa matumizi yale yale muhimu ya majumbani
Hamuoni kama ikiwa shillingi 100 itapunguza matumizi ya mkaa?
 
Asante kwa maelezo mazuri TANESCO.

Umesema sababu mojawapo ya umeme kupotea ni earth lod kutokuwa shaba halisi.

Naomba kujua sababu zingine zinazoweza kuleta leakage ya umeme kwenye nyumba.

Lakini pia, taarifa za mtaani zinasema ni vizuri kuweka chumvi na mkaa pale kwenye earth lod. Je hii inasaidia umeme kutokupotea?
Inaitwa Earth rod na si Earth lod. Kazi ya chumvi na mkaa Ni kuhifadhi unyevunyevu Ili Earth rod ifanye kazi vizuri ya kuhisi shoti kwa kiwango Cha 0.03 na si kila sehemu huwekwa chumvi na mkaa.
Afu uwekaji wa Earth rod una vipimo vyake ili kutafuta kupunguza ground resistance itayosababisha umeme usilike Sana.
 
Naomba kufahamishwa kuhusu hizi wanazoita smart meter.
images%20(1).jpg
 
Naomba somo kuhusu "earth load " ni kitu gani kinapelekwa ardhini? Neutral wire umetokea wapi kwani zinaingia nyaya mbili v+ na V- ?
 
Mm mimeomba kubadilishiwa Tariff hapa ofisi ya TANESCO mkoani tangu Machi 2020 lakini hadi sasa hakuna kitu,kila nikienda ofisini kwao wanasema mafundi watakuja nyumbani kwangu kuangalia mita yangu ya umeme lakini hawaji,sijui shida ni nini au wanadhani mm naomba msaada au kazi kwao.
Inasikitisha sana.
 
Inaitwa Earth rod na si Earth lod. Kazi ya chumvi na mkaa Ni kuhifadhi unyevunyevu Ili Earth rod ifanye kazi vizuri ya kuhisi shoti kwa kiwango Cha 0.03 na si kila sehemu huwekwa chumvi na mkaa.
Afu uwekaji wa Earth rod una vipimo vyake ili kutafuta kupunguza ground resistance itayosababisha umeme usilike Sana.
Matumizi ya chumvi yamepitwa na wakati sababu yanasababisha earth rod ku decay na ku form carbon. Kuna special compound znazotumika pia kuna njia za kushusha earth resistance bila kutumia chumvi
 
TANESCO mita yangu imeloose waya..napata shida kuingiza umeme..yaan waya umekatika nusu..je niirudishe ofisin au? Hebu nijibu ..maana nasumbuka balaa
 
Back
Top Bottom