Fahamu mbinu rahisi ya kudownload video Instagram

Acha kupotezea watu muda..kuna ulazima gani wa kwenda katika hiyo site???ungeweka huo ujuzi hapa...

Tumia instasave pro kusave picha na video... link ya apk naweka soon
asante kwa ushauri basi fanya hivi kwa kua ni rahisi zaidi kwako, fungua thread a ufanye hivo basi siku njema na bwana awe nawe
 
Sasa unaanzisha vipi thread alafu unatuambia tuende kwenye blog yako ingekua ili jukwaa kila mtu analeta taarifa za namna hii tungefika kweli.
 
Hakuna haja ya kulazimisha watu waende katika Blog yako maujanja nayamwanga hapa Twende kazi!!>>>>Ingia katika Play store download apps inaitwa iGetter ukimaliza kuinstall ingia instagram tafuta sehemu umependa kideo chamtu tazama chini ya video kuna dot 3(...)click hapo utaona URL copy rudi katika iGetter paste hiyo link itaanza kudownload automatically itakuuliza unataka kuisave sema yes kama unataka kuipa jina unaipa ukiisave itakuwa katika gallery yako !jaribu ukishindwa niambia hapa hapa hatwendi mbali.
 
Unaonaje ungeandaa na thread yako basi kuhusu hili
 
Ingia playstore download idownload ,copy link insta paste hapo
 
Attachments

  • 1453374345485.jpg
    1453374345485.jpg
    51.7 KB · Views: 75
Back
Top Bottom