Fahamu mamlaka, matakwa na mipaka ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kusweka watu rumande

Ndugu wanajukwaa, ile tabia ya RCs na DCs ya kukamata kamata watu ovyo na kuwaweka ndani ni kama imepungua vile. Je ni kwa sababu ya moto anaopitia Bashite kwa sasa au hoja za bunge lililopita au sababu nyingineyo? Karibuni kwa tafakari hii tunduizi.
 
Ni kwasababu ya bandiko hili. Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom