Fahamu Mambo usiyoyajua katika Nchi mbalimbali

Fahamu Mambo usiyoyajua katika Nchi mbalimbali

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,213
Reaction score
48,767
1. Hakuna herufi O kwenye mfumo wa usajili wa vyombo vya moto.

Mfano: Huwezi kuikuta gari iko T340, COH.

2. China wanajeshi wa kike hawaruhusiwi kuwa na cheo zaidi ya captain (3 Stars)

3. Jeshi la Marekani hata askari hupigiana salute, huku Bongo salute ni kwa maafisa (Askari ni mwanajeshi asiye na cheo juu begani kwa tafsiri rahisi).

4. Ukikwangua vocha mathalani ya tigo kisha ukiingiza nambari za vocha kwenye simu 2 tofauti zenye kasi moja kwa wakati mmoja matokeo yake lazima utaishia kufutiwa usajili line zote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎.

5. Binadamu na sokwe wakifanya mapenzi wanazaa.
 
Jana nineenda hospitali na wembe nikakuta kumbe hawachanji, wanachoma sindano begani
...hata mimi ninashangaa sana wanaposema Chanjo badala ya sindano!
Chanjo walichanjwa wazee wetu ambao hadi leo wana makavu ya Chanjo mabegani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom