Fahamu Mambo usiyoyajua katika Nchi mbalimbali

Kuwa mfalme Suleiman ndio mtu pekee aliewahi kuwa na wake wengi zaidi na wanawake wa nje kuliko binadamu mwingine yoyote aliewahi kuishi hapa duniani (700 wives and 300 concubines (1 Wafalme 11:3)...
 
1. Hakuna herufi O kwenye mfumo wa usajili wa vyombo vya moto.

Mfano: Huwezi kuikuta gari iko T340, COH.

2. China wanajeshi wa kike hawaruhusiwi kuwa na cheo zaidi ya captain (3 Stars)

3. Jeshi la Marekani hata askari hupigiana salute, huku Bongo salute ni kwa maafisa (Askari ni mwanajeshi asiye na cheo juu begani kwa tafsiri rahisi).

4. Ukikwangua vocha mathalani ya tigo kisha ukiingiza nambari za vocha kwenye simu 2 tofauti zenye kasi moja kwa wakati mmoja matokeo yake lazima utaishia kufutiwa usajili line zote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎.

5. Binadamu na sokwe wakifanya mapenzi wanazaa.
Kwenye usajili wa vyombo vya moto Tanzania, namba T.111 xxx na T.0xx hazipo
 
Ujanja ni kuchanja chanjo ya COVID 19
mbona hamna msimamo, chanjo ya nn na dawa wamegundua, sasa hii michezo yenu mpka ln?? tushike lip tuache lip
Screenshot_2021-10-04_203041.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom