Ndio.
Mwanamke lazima awe na aibu na kujiheshimu.
Juzi nilikua kwenye harusi Mlimani city, aisee huwezi kuamini. Kuna mwanamke alikua anachukua vipaja vya kuku majuisi na chupa ya wine na kuweka kwenye kibegi chake.
Yaani alikua Hana aibu au tuseme Soni. Halafu anaonekana wa uchumi wa Kati.