Wana MMU, ni mwaka wa 5 sasa tangu niache rasmi kuvaa vazi la chupi. Zoezi hili nililianza taratibu lakini kadri siku zilipokwenda nikaona ni utaratibu wa kawaida.
Zamani nilikuwa nikivaa chupi mchana lakini wakati naenda kulala usiku, nilikuwa nikivua chupi na kuvaa bukta. Lengo langu kubwa lilikuwa kuziacha nyeti zangu ziwe free na kupata fresh air kwani mchana kutwa zilikuwa zikishinda zimebanwa na chupi!
Baadaye nilikuja kusoma makala moja ya Afya iliyodai kwamba kubana nyeti kwa chupi ni hatari kiafya kwa kuwa hupunguza uwezo wa kuperform kitandani--performance kwa maana quality and quantity of sperms produced (sperm count)--kitendo ambacho kinaweza kupelekea mtu kuwa mgumba.
USHAURI
Ushauri wangu kwa wadau wa MMU naomba muige mfano wangu huu kwani umenipa mafanikio makubwa sana. Baada ya kuacha kutinga kyupi perfomance yangu kitandani imeongezeka mara dufu. Hasa akina SHE nawashauri muige mfano huu kwani nyie ndio mnaovaa tamang'eo zinazobana sana hadi papuchi zenu kushindwa 'kupumua'.
Nawasilisha
bidhaa gani tena mkuu? si wabadili biashara waanze kutengeneza bukta? hata watengenezaji wa simu za mkonga walibadili biashara baada ya ujio wa simu za mkononi. umeona eeh?
Makala iliitwaje mkuu????
Iliandikwa mwaka gani na nani???!!!
Uhusiano wa kubanwa na hilo tatizo ni upi????!!!
Sio wote wanajua haya mambo kama unavyoweza kudhani, uzi mzuri ila umeubana sana!!!!!
hahahahahahahaha mai blaza at his best!
Lubega hoyeeeeeeee!!!!!kubana dushe si tatizo tatizo ni vichupa
usibane korodan maana production ya sperm hucanyika kule
Kwa hiyo una shauri tuwe manyegu 24/7?
Wana MMU, ni mwaka wa 5 sasa tangu niache rasmi kuvaa vazi la chupi. Zoezi hili nililianza taratibu lakini kadri siku zilipokwenda nikaona ni utaratibu wa kawaida.
Zamani nilikuwa nikivaa chupi mchana lakini wakati naenda kulala usiku, nilikuwa nikivua chupi na kuvaa bukta. Lengo langu kubwa lilikuwa kuziacha nyeti zangu ziwe free na kupata fresh air kwani mchana kutwa zilikuwa zikishinda zimebanwa na chupi!
Baadaye nilikuja kusoma makala moja ya Afya iliyodai kwamba kubana nyeti kwa chupi ni hatari kiafya kwa kuwa hupunguza uwezo wa kuperform kitandani--performance kwa maana quality and quantity of sperms produced (sperm count)--kitendo ambacho kinaweza kupelekea mtu kuwa mgumba.
USHAURI
Ushauri wangu kwa wadau wa MMU naomba muige mfano wangu huu kwani umenipa mafanikio makubwa sana. Baada ya kuacha kutinga kyupi perfomance yangu kitandani imeongezeka mara dufu. Hasa akina SHE nawashauri muige mfano huu kwani nyie ndio mnaovaa tamang'eo zinazobana sana hadi papuchi zenu kushindwa 'kupumua'.
Nawasilisha
uzi mzuri ila umeubana sana!!!!!
hahahahah......aitafutie bukta sio!!?
Kwa hiyo una shauri tuwe manyegu 24/7?
Makala iliitwaje mkuu????
Iliandikwa mwaka gani na nani???!!!
Uhusiano wa kubanwa na hilo tatizo ni upi????!!!
Sio wote wanajua haya mambo kama unavyoweza kudhani, uzi mzuri ila umeubana sana!!!!!
Ha ha haaaaa uzi unashindwa ku perform!!!!!!