Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,413
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu kwa vile jiwe ameenda ngoja tumkumbuke kwa hiloaliyeturoga kafa,yaani kumuenzi malkia wa wingereza tunabadilisha jina la wasukuma? anyway walibadilisha wazungu wakati wanatutawala,kwa sasa tunasema tuna "uhuru" kwa nini tusifute jina ilo la malkia wa mabeberu na tukapachika jina la kisukuma?? au tuite tu ziwa magufuli au ziwa kikwete