fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 965
- 640
Akili pumba hizi
Wasukuma JuJu!!!!Wakurya ungewaweka na wamasai huko, ila kwa wasukuma umekosea kabisa....zaidi ya kwamba wote ni wafugaji hakuna wanachoshabihiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waha sio wabishii hua mnatusingizia
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu umeshaanza kubisha,waha noma sanaWaha sio wabishii hua mnatusingizia
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk