Fahamu kumi makabila yanayofanana tabia

Fahamu kumi makabila yanayofanana tabia

ifuatayo list ya makabila ambayo yanafanana tabia

1.wazaramo, wakwere na wandengereko wanafanana tabia haswa ni watu wa shughuli, chereko, furaha na ni watu wasiopenda shida.

2.wanyamwezi,wamanyema,wadigo na wamwera wa lindi wanafanana tabia haswa kwene umwinyiiiiii

3.wasukuma,wakurya na wamasai wanafanana tabia wapore wakalimu ila wana hasira za haraka sana ukiwakwaza

4.wagita,wahaya,wajaluo na wanyakyusa wanafanana tabia haswa kwene kujikweza na kujisifu

5.wakinga,wapare na wagweno wana watu ni wabahilli kupindukia katika kutoa hela

6.waluguru,waha,wamakonde wanafanana tabia haswa kwene ubishii

7.warangi, wairaki, wambulu, wanyaturu, wanyairamba hawa pia wanafanana tabia haswa upande wa akina dada

8.wangoni na wanyasaa ni wacheshi sana ila wanapenda sana kunywa pombe lakini pia wanapenda ngono kupindukia

9.wayaoo na wamatumbi ni wanafanana tabia haswa ya ustaarabu na wameshika sana dini

10.wahehe,wanyarukoro na wabena wanafanana tabia ila akiwa na hasira ndo hukimbiaaga kujinyonga

hayo ndo makabila kumi yanayofanana tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 7. UMESAHAU WASANDAWE
 
Hapana hapo umedanganya, wabena hawajinyongi,
Kufanana kwao ni salaam,
Wahehe wana kidada (wangaya sida hata kama wanatembelea kwato) wabena wanyenyekevu na wapole ila hawsjui yes na no, mbena anaweza kukuahidi jambo ila kwenye utekelezaji atakuangusha dakika za mwisho akijifanya alisahau au amebadili mawazo, unaweza kutegemea mkopo wa nauli kwake akakuambia uje asubuhi, ukienda hiyo asubuhi utakuta hayupo au kajiminya chumbani kimyaaa utamsikia tu akipiga chafya au kikohozi akipigwa baridi
Kuna ukweli 100%
 
Hahaha wewe unawajua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni myahudi mweusi lakini sijaona kabila langu, hapo.....why?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom