Nyie watusi mnafanana na kabila fulani, baba anamtolea mahari mwanawe aoe halafu mzigo anaanza kuuonja yeyeMimi ni myahudi mweusi lakini sijaona kabila langu, hapo.....why?
Sifa yenu mpewe Wanyamwezi ni wacha kazi pia hawana makuu ...sijui hawa wanyamwezi wa mwendo kasiWanyamwezi mamwinyi ni wa-tabora mjini tu labda. Sio sahihi kutoa kauli ya jumla hivyo kwa Sisi Wanyamwezi wote.
Tungekuwa wapenda umwinyi kauli ya "Mzigo mzito mpe Mnyamwezi " wahenga wangeitolea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure! Wifi yangu ni mha na hajawahi kuwa mbishi kabisaWaha sio wabishii hua mnatusingizia
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nyie watusi mnafanana na kabila fulani, baba anamtolea mahari mwanawe aoe halafu mzigo anaanza kuuonja yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyarukoro ni kabila gani/la wapi hilo?ifuatayo list ya makabila ambayo yanafanana tabia
1.wazaramo, wakwere na wandengereko wanafanana tabia haswa ni watu wa shughuli, chereko, furaha na ni watu wasiopenda shida.
2.wanyamwezi,wamanyema,wadigo na wamwera wa lindi wanafanana tabia haswa kwene umwinyiiiiii
3.wasukuma,wakurya na wamasai wanafanana tabia wapore wakalimu ila wana hasira za haraka sana ukiwakwaza
4.wagita,wahaya,wajaluo na wanyakyusa wanafanana tabia haswa kwene kujikweza na kujisifu
5.wakinga,wapare na wagweno wana watu ni wabahilli kupindukia katika kutoa hela
6.waluguru,waha,wamakonde wanafanana tabia haswa kwene ubishii
7.warangi, wairaki, wambulu, wanyaturu, wanyairamba hawa pia wanafanana tabia haswa upande wa akina dada
8.wangoni na wanyasaa ni wacheshi sana ila wanapenda sana kunywa pombe lakini pia wanapenda ngono kupindukia
9.wayaoo na wamatumbi ni wanafanana tabia haswa ya ustaarabu na wameshika sana dini
10.wahehe,wanyarukoro na wabena wanafanana tabia ila akiwa na hasira ndo hukimbiaaga kujinyonga
hayo ndo makabila kumi yanayofanana tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakurya ungewaweka na wamasai huko, ila kwa wasukuma umekosea kabisa....zaidi ya kwamba wote ni wafugaji hakuna wanachoshabihiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme malaya, sema hawajui kukataa [emoji23][emoji23][emoji23]!!Dada zao malaya mno, easy go
Baba sisi mbona wacha mungu Sana! Ibesa mao kuvangisa wadala!Tofauti ni kuwa wangoni wanasema kabisa wao ni wagoni kwahiyo usishangae