Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
na mie ncheme aina nyingine,wanaitwa wahida hawa huishi porini na hutoka usiku kutafuta chakula,na watamu kwa chakula.karibu ntwara
Hahahaaa wanaitwaje? Sio wale wale jamani?
na mie ncheme aina nyingine,wanaitwa wahida hawa huishi porini na hutoka usiku kutafuta chakula,na watamu kwa chakula.karibu ntwara
na mie ncheme aina nyingine,wanaitwa wahida hawa huishi porini na hutoka usiku kutafuta chakula,na watamu kwa chakula.karibu ntwara
pia kuna wale wanaokula kucha tu huku wakipuliza na wale wale wanaokula vifungo tu mwisho ni wale wanaojipitisha pitisha wakiona wageni
Hao wanaojipitisha mbele ya wageni wanapenda sifa...hawachelewi kudondosha vyombo au kutoka wanaburuza chu.pi...
Mkiwa wenyewe wala hawaonekani...subiri aje mgeni uone wanavyoibuka kama wameitwa waje kutambulishwa vilee...
Wengine ndo wanampigia kelele kabisaa ndani ya sofaa....
Kuna panya wanatoboa gypsum, tena ajabu sitting room tu (ambako wageni hufika). Amini usiamini, mimi yamenifika.