Kama hii field huijui ni vema ukapita tu usidhani usomi una nafasi hapa, haya mambo yanasumbua sana jamii halafu unakuja na lugha nyepesi ati Psychological issue kisha unaunganisha na ugunduzi wa akina Skinner na Ivan Pavlov kwamba ya behavioral issue, mya friend you are lost in the wilderness.Hakuna limbwata Wala nini, hiyo ni issue ya Saikolojia tu. Kitu chochote kikiwa excessive unakuwa Teja .. Huo ni uteja wa mapenzi Kama ilivyo uteja wa pombe au madawa ya kulevya.
Hujui hasara yake kubwa, je kama ulitumia isiyo expire?Hasara ni pamoja na kudaiwa kuongeza nguvu hiyo dawa kila mara na pindi ikiisha nguvu ugomvi mkubwa huweza kutokea.
Umeongea vizuri na kumwelewesha vyema shukrani mkuuKama hii field huijui ni vema ukapita tu usidhani usomi una nafasi hapa, haya mambo yanasumbua sana jamii halafu unakuja na lugha nyepesi ati Psychological issue kisha unaunganisha na ugunduzi wa akina Skinner na Ivan Pavlov kwamba ya behavioral issue, mya friend you are lost in the wilderness.
Hapo hajagusia kitu kinaitwa Ndele na hakuvuka hadi kanda ya ziwa kule Kagera kuna kitu inaitwa SHUNTAMA au Unyantuzuni kuna kitu kinaitwa LIKONDALIGOSHA ukibamizwa hiyo Theory zako zoote za kuhusu saikoloji na utopolo mwingine hutafahamu kwamba vina kazi gani duniani.
Acha ujinga wewe Mimi Ni mzaliwa wa huko mnapopaona Kuna uchawi wa kukata na shoka ... Huo upuuzi ni issue ya Saikolojia tu ninaongea kwa kujiamin.Kama hii field huijui ni vema ukapita tu usidhani usomi una nafasi hapa, haya mambo yanasumbua sana jamii halafu unakuja na lugha nyepesi ati Psychological issue kisha unaunganisha na ugunduzi wa akina Skinner na Ivan Pavlov kwamba ya behavioral issue, mya friend you are lost in the wilderness.
Hapo hajagusia kitu kinaitwa Ndele na hakuvuka hadi kanda ya ziwa kule Kagera kuna kitu inaitwa SHUNTAMA au Unyantuzuni kuna kitu kinaitwa LIKONDALIGOSHA ukibamizwa hiyo Theory zako zoote za kuhusu saikoloji na utopolo mwingine hutafahamu kwamba vina kazi gani duniani.
Acha ujinga wewe Mimi Ni mzaliwa wa huko mnapopaona Kuna uchawi wa kukata na shoka ... Huo upuuzi ni issue ya Saikolojia tu ninaongea kwa kujiamin.
Sio unaleta hadithi zako hapa za uongo na dhana potofu. Kama limbwata lipo mbona tunaona mnafanyiana wenyewe vijijin si muwafanyie na mawaziri tuona class mixing sio mnafanyiana Nyie kwa Nyie vijijin unaleta story zako.