Fahamu kuhusu kukomaa kiakili

Asante sana mkuu kwa swali lako. Mkuu wangu mwanafalsafa Hegel mtaaalam na nguli wa Philosophy of History.

Anasema kwamba Africa kutoendelea ni kwa sababu wanatumia sehemu ndogo sana ya akili. Waafrica wameshindwa Kufanya reasoning hivyo wamebakia kubweteka na kuridhika na hali walizo nazo.

Mzungu akipata changamoto kwake inakuwa mtaji hivyo hutumia ubongo ku reasoning ili kuzitatua changamoto zinazomkabili. Hivyo kupitia hili wazungu hufanya makubwa sana.

Waafrika kwanza si kawaida yetu kufanya reasoning hivyo kwa Afrika ikotokea changamoto yeyote kwa huamini kwamba ni mpango wa mungu hivyo hubweteka na kuishi nazo hizo changamoto bila kuzitatua hivyo kupelekea kuwepo na lundo la changamoto.

Nidhani nimekujibu mkuu wangu
Hegel anafikiri hivyo juu ya Waafrika na anazo sababu zake. Wewe unafikiri nini juu ya Waafrika kutokuendelea?
 
Hegel anafikiri hivyo juu ya Waafrika na anazo sababu zake. Wewe unafikiri nini juu ya Waafrika kutokuendelea?
Mimi nafikiri tatizo letu ni kutozitumia changamoto kama mtaji wa maendeleo kwa kuzitatua zaidi yake tukishapata changamoto hatutafuti njia ya kuzitatua bali tunazikubali then tunaishi nazo.
 
Back
Top Bottom