Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
thank my grandma.
You are welcomed grandson.
thank my grandma.
sawa
vijana wengi jf bado hawajakomaa kwasababu wakiamka wanakuta mama zao wameandaa chai na silesi
Yaani mkuu huyu kiongozi nimemshangaa sanaZwazwa hili
Tuko pamoja sana mkuu wanguSomo zuri mkuu
Shukrani sana mkuu wangu [emoji122][emoji122]Mtoa mada asante sana mungu akubariki ,,kwakweli umeandika vitu vya mana sana.
DohhWakishakunywa chai wakashiba wanaenda mmu kuanzisha na kuchangia kwenye mada za ngono.
Karibu mkuuNitarudi kusoma hii sred
Vipi kuhusu kuchagua chakuongea na wakati sahihi wakukiongea? Naona kama comment yako inakosa sifa. Naona kama inakosa ukomavu aliouzungumzia mtoa madasawa
vijana wengi jf bado hawajakomaa kwasababu wakiamka wanakuta mama zao wameandaa chai na silesi
somo nzuri lakini kuwa mkomavu wa akili sio jambo dogo kwa sababu wengi tumeathiliwa na malezi tuliokulia,
kwa hiyo hta changamoto mda mwingine badala ya kutujenga inatuvuruga kabisa.
all in all Africa tuna laana ya asili
[emoji115][emoji115][emoji115]Vipi kuhusu kuchagua chakuongea na wakati sahihi wakukiongea? Naona kama comment yako inakosa sifa. Naona kama inakosa ukomavu aliouzungumzia mtoa mada
Uko sahihi sana mkuu wangu lakini hilo la Afrika kuwa laana Siwezi lizungumzia kwa sababu sina ushahidi nalo.somo nzuri lakini kuwa mkomavu wa akili sio jambo dogo kwa sababu wengi tumeathiliwa na malezi tuliokulia,
kwa hiyo hta changamoto mda mwingine badala ya kutujenga inatuvuruga kabisa.
all in all Africa tuna laana ya asili
[emoji115][emoji115]Eti Afrika tuna laana ya asili[emoji3] kwahiyo hatuna namna ya kuchomoka kwenye hiyo laana?
ngumu kuchomoka na itaendelea kudumu coz tunarithishana generation after generationEti Afrika tuna laana ya asili😀 kwahiyo hatuna namna ya kuchomoka kwenye hiyo laana?
fanya utafiti wako mkuu utaligundua hiloUko sahihi sana mkuu wangu lakini hilo la Afrika kuwa laana Siwezi lizungumzia kwa sababu sina ushahidi nalo.
ngumu kuchomoka na itaendelea kudumu coz tunarithishana generation after generation