Fahamu kuhusu kukomaa kiakili

somo nzuri lakini kuwa mkomavu wa akili sio jambo dogo kwa sababu wengi tumeathiliwa na malezi tuliokulia,
kwa hiyo hta changamoto mda mwingine badala ya kutujenga inatuvuruga kabisa.
all in all Africa tuna laana ya asili
 
Eti Afrika tuna laana ya asili😀 kwahiyo hatuna namna ya kuchomoka kwenye hiyo laana?
 
somo nzuri lakini kuwa mkomavu wa akili sio jambo dogo kwa sababu wengi tumeathiliwa na malezi tuliokulia,
kwa hiyo hta changamoto mda mwingine badala ya kutujenga inatuvuruga kabisa.
all in all Africa tuna laana ya asili
Uko sahihi sana mkuu wangu lakini hilo la Afrika kuwa laana Siwezi lizungumzia kwa sababu sina ushahidi nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…