Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

Mkuu heshima yako! Naeza pata wapi mbegu zake matunda haya?
 
Kwa nini usiweke maelezo ya kutosha...

Mfano mche mmoja kwa wastani hutoa matunda mangapi, na mkulima atarajie faida ipi baada ya mavuno, nini changamoto za kilimo, wapi kilimo kinafaa na kifanyike vipi n.k
 
Mkuu Mavuno kwa mche mmoja ni wastani wa Gram 20 na kwa wiki unachuma mara 2 hadi 3.

Na mashina 50 yanaweza kutoa kilo kwa mchumo mmoja.

Changamoto kubwa ni kwamba zinataka maji majiaji bila majihiwezi lima.

Mbole zinapenda sana Samadi.

Swala.la wadudu sio sana labda fangasi kwenyea majani kipindi cha mvua na unaweza piga dawa ya kawaida ya fangasi.

Pia uhifadhi wake ni kwamba zinaweza kaa siku 3 baada ya kuvunwa. Hapo ni kama huna fridge.

Ila kwenye fridge zinaweza kaa siku 30.
 
Kwa nini usiweke maelezo ya kutosha...

Mfano mche mmoja kwa wastani hutoa matunda mangapi, na mkulima atarajie faida ipi baada ya mavuno, nini changamoto za kilimo, wapi kilimo kinafaa na kifanyike vipi n.k
Sehemu yoyote isiyo kuwa na udongo wa kichanga.

Pia joto lisizidi 30c

Maji yawe ni ya uhakika na si ya kubipu
 
kwamba bei ya sh elf 1 hadi 2500 ni ya mche mmoja??
Mkuu miche ipo ya aina mbili iliyo ng'olewa tu hiyo ni sh 1000 hadi chini ya hapo pia kuna poted au ambayo imeisha oteshwa kwenye viriba na ina hata mwezi au.mwezi na nusu.

Kumbuka zinaanza kuzaa baada ya siku 70
 
Life span yake ni miaka 3 baada ya hapo unafanya kubadilisha na kuweka mipya.
 
Mkuu miche ipo ya aina mbili iliyo ng'olewa tu hiyo ni sh 1000 hadi chini ya hapo pia kuna poted au ambayo imeisha oteshwa kwenye viriba na ina hata mwezi au.mwezi na nusu.

Kumbuka zinaanza kuzaa baada ya siku 70
asante kwa maelezo mkuu
 
Kwa nini usiweke maelezo ya kutosha...

Mfano mche mmoja kwa wastani hutoa matunda mangapi, na mkulima atarajie faida ipi baada ya mavuno, nini changamoto za kilimo, wapi kilimo kinafaa na kifanyike vipi n.k

Siajabu hata yeye hajui !
 
Acha utapeli hujawahi kulima strawberry na wala hutawahi kwa hiyo usishawishi watu kitu ambacho hujawahi kufanya
Ulitaka kwanza Mama ako apate taarifa? Hahaa shinda humu kusifia na kupingana wanaume wenzako, wanapiga pesa wewe uko bise kupingana sijui kwa akili zako za kushikiwa ulitaka niwaandikie Barua ukoo wenu kuwaarifu kwamba nalima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…