Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

Mungu akuzidishie mkuu umenipa moyo sana nlidhan ni tatzo kubwa sana asante sana kiukwel walikula pumba tu wiki nzima bila mchngnyko wowote na walikaa ndani wiki nzima bila kutoka haya kdg nilisafiri nikaacha mtu ambaye hakuweza kuwatafutia chakula kinachofaa.
 
Aksante sana! Ufugaji ni Uvumilivu, Umakini na kujituma. Kila la kheri Mkuu.
 
Tunauza vyungu vya Kukuzia Vifaranga. VinatumiA mkaa hauhtaji umeme sasa wengi wanafuga kisasa kwa unafuu kimoja kinahudumia had kuku 100 joto lake hudum kwa saa 12.Kimoja kinauzwa shs15000.Kwa dar unaletewa Hadi kwako mikoani tunatuwatumia Bila tatizo Kwann upate hasara za kukatikakatika kwa umeme na mvua zilizoanza. Tupo Temeke Vetenary karibu Na Lusaka Bar Piga 0764639286 au 0715476529 uhudumiwe.


 
Habari za jioni. Poleni na majukumu mbalimbali. Nauliza jee soya ya kutengenezea chakula cha kuku NATO hutolewa magamba, kama ya uji wa lishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…