greatbrain
Member
- Apr 15, 2019
- 56
- 60
kule vijijini wanapopika vyakula kama mahindi,wali , viazi wanafunika kwa kutumia mifuko ya plastic- hatari zaidi ya kupata kansa,,kule kwa mama ntilie mifuko ya plastic inatumika kuhifadhi joto kwenye vyakula kama ugali, pia mara nyingi vyakula vya moto vinabebewa kwenye mifuko hii- chipsi kwa wadada,,kiujumla hatuko salama