Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

@mukoko kisu kwamba degere ni visangara vidogo ???? Nijuavyo mm kuna degere wadogo na degere wakubwa tuu wote n sangara ma degere n jina la kilugha sio kiswahili
 
mimi nimeifanyia research ya kutosha sema sina mtaji tu..
kuna mama mmoja anaifanya hii biashara ndio kanifumbua macho aisee sijategemea kama wanapata hela nyingi kiasi hiki..

Hao Degere ndio (sangara wadogo, under 1 kg) na wanapitishwa kweli kimagendo na endapo ukigundulika, Toa elfu kumi chap chap kwa bwana samaki, wanakuruhusu unapita.

kwa mujibu wa huyo mama,

yeye mzigo anachukulia kisiwa cha UKARA ambapo Degere wanne anauziwa Tshs 2,400 (yani samaki mmoja 600)

yeye huku anakuja kuuza mmoja Tsh 1500 mpaka 2000. unaweza kuona hapo faida inavyopatikana.

Je, akichukua mzigo wa laki 2 atapata faida kiasi gani?
hio hela inampa faida ya 100,000 mpaka 150,000.
View attachment 2131427
Hii picha nilikua nae mahali wanako anikia Dagaa!! na mchongo mzima akanipea hapa.

Tofauti na Degere wajomba, ambao kanieleza endapo kuna ubanikaji mbovu wanaweza kuharibika, kuna mchongo mwingine kanitonya... ambao unahusu samaki.

Natamani nipate laki 3 tu niingie kwenye hii biashara
BilioneaPATIGOO naomba mkuu tujadiliane namna ya kuwezeshana hapa
Hii picha ni kisiwa gani hapa??
 
Umefunga pm mkuu
 
Back
Top Bottom