YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,052
Sultan wa Oman aweza itaka kuinunua chapchap lete bei pendekezwaNa sisi tuiuze Zanzibar...
Sultan wa Oman aweza itaka kuinunua chapchap lete bei pendekezwaNa sisi tuiuze Zanzibar...
Umetumia nini kufikiri?Na sisi tuiuze Zanzibar...
Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawaAirudishe kibabe, make inasemekana jamaa ni Mbabe sana na anaweza kuipiga hata dunia nzima
Hata hiyo nguvu ya kuirejesha anayo kwani?!Unarudishaje kitu kibabe while uliuza we mwenyewe? Yatakua matumizi mabaya ya NGUVU/Ubabe bhana, hi sio sawa