Fahamu Aina za ndoa

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!

2. NDOA YA MIHEMKO
Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa.

4. NDOA YA MAONYESHO
Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha barabarani. Ila ndani hazina utii. Hupigana kila wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa zinazoongoza kwa kuchepuka!

5. NDOA YA UHAMISHO.
Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa kijijini ahamie mjini. Mahari hutoa anayetaka kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi zaidi.Huvunjika mara tu wanapoanza kuishi wote mjini. Salama ya hii ndoa ni kuhama kutoka mjini kwenda kijijini.

6. NDOA YA MIMBA.
Hufungwa kwa sababu wanaoowana hawataki kuonekana makwao kuwa wamezaa nje. Au muolewaji alikuwa hampendi muoaji kwa dhati.Muoaji hutumia mimba kama mtego wa kuingia ndoani. Hii huvunjika mtoto akizaliwa na kufikisha mwaka 1.

7. NDOA YA MALI (UTAJIRI)
Muolewaji miaka 18 au 28 Muoaji 65 au 70.Ndoa hii pia huitwa ndoa ya babu na mjuukuu. Ndoa ya aina hii hudumu, kwasababu mwenye kauli ni mwenye mali. Asilimia kubwa ya waume wa ndoa hizi hulea watoto wasio wao.

8. NDOA YA KWA SABABU.
Hufungwa ili mradi muoaji au muolewaji aonekane tu kwa jamii kuwa naye kaoa au kaolewa. Huwa hazina utii wala upendo dhati. Ndoa ya aina hii ikifikisha miaka 4 huwa hazivunjiki wahusika huishi kwa mazoea.

9. NDOA YA UPENDO.
Ndoa hizi ziliishia mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera. Muoaji na muolewaji hawakuangalia vitu ila utu tu ambao uliwaunganisha na kutengeneza upendo wa kudumu. Hii ilidumu miaka yote.

10. NDOA KUCHUMA
Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine husubiri mpaka mhusika afe,lkn hujikuta wanakufa wao kwanza
 
Dah! Mkuu,kwa hiyo namba 9 ndio imetoweka kabisaaaaa! Unatushaurije sie Masingle sasa....Naona hali mbaya hapo juu.
 
11. NDOA YA KWICHIKWICHI
Ndoa hii hufungwa kwasababu ya kubanjukiana (sex) mara nyingi muoaji anakuwa na kipururu cha miaka kibao hajaonja papuchi na hawa huwa domo zege unakuta huchukua muda sana kupata msichana wa kugonga hivyo basi ili kufaidi inabidi atangaze ndoa na mara nyingi watu hawa ni vigumu kupata kabinti fresh hivyo huishia kuchua SINGLE MOTHERS yaani makapi na hawa ni gusa twenda kwakuwa huku nyuma walikwisha tendwa
 
12.NDOA YA SANGOMA
Ndoa hii huwa imejaa ushirikina mara nyingi muolewaji anakuwa amepania kuolewa huamua kwenda kutafuta solution kwa waganga,Mara nyingi ndoa hizi hazidumu kwa sababu masharti ni magumu lazima awe mchepuko wa mganga!
 
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!

2. NDOA YA MIHEMKO
Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa.

4. NDOA YA MAONYESHO
Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha barabarani. Ila ndani hazina utii. Hupigana kila wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa zinazoongoza kwa kuchepuka!

5. NDOA YA UHAMISHO.
Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa kijijini ahamie mjini. Mahari hutoa anayetaka kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi zaidi.Huvunjika mara tu wanapoanza kuishi wote mjini. Salama ya hii ndoa ni kuhama kutoka mjini kwenda kijijini.

6. NDOA YA MIMBA.
Hufungwa kwa sababu wanaoowana hawataki kuonekana makwao kuwa wamezaa nje. Au muolewaji alikuwa hampendi muoaji kwa dhati.Muoaji hutumia mimba kama mtego wa kuingia ndoani. Hii huvunjika mtoto akizaliwa na kufikisha mwaka 1.

7. NDOA YA MALI (UTAJIRI)
Muolewaji miaka 18 au 28 Muoaji 65 au 70.Ndoa hii pia huitwa ndoa ya babu na mjuukuu. Ndoa ya aina hii hudumu, kwasababu mwenye kauli ni mwenye mali. Asilimia kubwa ya waume wa ndoa hizi hulea watoto wasio wao.

8. NDOA YA KWA SABABU.
Hufungwa ili mradi muoaji au muolewaji aonekane tu kwa jamii kuwa naye kaoa au kaolewa. Huwa hazina utii wala upendo dhati. Ndoa ya aina hii ikifikisha miaka 4 huwa hazivunjiki wahusika huishi kwa mazoea.

9. NDOA YA UPENDO.
Ndoa hizi ziliishia mwaka 1978 kabla ya vita vya Kagera. Muoaji na muolewaji hawakuangalia vitu ila utu tu ambao uliwaunganisha na kutengeneza upendo wa kudumu. Hii ilidumu miaka yote.

10. NDOA KUCHUMA
Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine husubiri mpaka mhusika afe,lkn hujikuta wanakufa wao kwanza
 
12.NDOA YA SANGOMA
Ndoa hii huwa imejaa ushirikina mara nyingi muolewaji anakuwa amepania kuolewa huamua kwenda kutafuta solution kwa waganga,Mara nyingi ndoa hizi hazidumu kwa sababu masharti ni magumu lazima awe mchepuko wa mganga!
 
hiyo namba 8
ina ukweli mwingi sana
mimi nikiri tu kuwa namba hiyo inanihusu
 
Ndoa ya utu uzima-zege;

Yaani unapewa mke sababu ya umri umeenda, wewe kuchagua umeshindwa bila sababu kure Mara wanaita Omugasi Wo-kugwatirwa; mara nyingi anakuwa kutoka nduguni, Distant cousin.

Nyingine NYUMBA NTOBHU; unaolewa na kibibi tajiri, kazi mke ni kuchagua Dume unalo taka popote Duniani. ila sasa ukoo wa baba mtu au baba binafsi hana haki na mtoto.

Ndoa nyingine unafunga na Gu-jitu au kifupi GO-Giant of the Old, kure ktk kanda yetu tunaita ''Wesumwa Makaka''.hapa utapata raha sana. kwa wanawake, but kwa wanaume papuchi ni kubwa usiombee, ukiingia huku hupendi wanaume wengine tena
 
Back
Top Bottom