Fahamu aina tatu ya tabia za binadamu na sifa zao

D
Idiot Embicile,
Sasa wajua kwanini nasema I'm worthless? Ndio maneno niliokua naambiwa: Huna akili, una damu ya kunguni, una roho mbaya, mjinga, mpumbavu, kila jina baya.
Dah mkuu,in my opinion ni wazi hayo maneno yamekuathiri sana na na huenda vile unavyojitathmini kama mtu kumebase kutokana na hayo maneno uliyokuwa ukiambiwa mara kwa mara,kwani mkuu ni kweli wewe uko kulingana na hayo maneno? maana hata nikiangalia signature yako mmmhhhh
 
Angeelezea introvert na extrovert kwa makundi manne usingejikosa!! Binafsi naona hajawaelezea hawa Sanguine hili ni kundi linalotoka ktk extrovert,watu ambao hawana lile shipa la aibu! Hawa ndio wazee wa show off wanapenda kusikilizwa,Ni washawishi wazuri,waongeaji,wachekeshaji,wanashauku Sana,si wazuri ktk ratiba! Yani hawana ratiba maalum ye kitu kikimgusa tu tayari twende,ni very social na huwa na marafiki wengi, hupenda kujulikana(kuwa maarufu).
Hupendelea kufanya kazi za kuonekana ili apate sifa n.k na hawapendi kazi ngumuuu!
Kazi wanazopendelea kufanya ni Kama kuwa mtangazaji(mshehereshaji),uanamuziki,uchekeshaji n.k si kila mwenye hizo kazi Ni kutoka kundi hili hapana ila wengi wao hutoka hapa.. Dully Sykes ni moja ya kiumbe niliemtazama na kugundua anatoka kundi hili..

Ukiifahamu saikolojia kiundani Kuna watu utajua wanafaa wapi na wapi na ukiwa unaakili kubwa utaweza kuwaendesha kwani kila mmoja unajua udhaifu wake na uimara wake!,na elimu hii ikitumika ktk kuendesha kampuni unaweza kupata wafanyakazi unaowataka na ukafika unapopataka ila muda ndo unaohitajika!! Kuwasoma watu si jambo jepesi ila moja kati ya kundi jepesi kuwasoma ni hawa niliokutajia hapa.. wapo wengi ktk jamii hata likitokea tukio hawa wanakuwa wakwanza kufika na kuanza kutoa msaada tofauti na makundi mengine kidogo mpk wajivute fulani hivi hasa introvert maana hawa mara nyingi ni watu wa mantiki!! Maswali ya kwanini..? Kivipi..? Muda gani..? Hutoka kwao ni kwamba hawafanyi kitu kihisia zaidi ila in logics.
Mkuu hapo ulipoelezea mwishoni kabisa ndio mimi na pale ulipoanza kuelezea mwanzoni kuna ndugu yangu mmoja ndio yuko hivyo mpaka zile aina za kazi ulizozitaja pia amezipitia.
Hili somo halijawahi kukosea kabisa.
Yaani mimi kila kitu ninachofanya hata kama ni kidogo lazima nitumie logic,yaani kwa mfano hata ukinifuata ukaniomba elfu 5 ya kula chakula nitaanza kukuhoji na kufanya uchambuzi wa kina kwa nini umekosa elfu 5?nitaanza kuichambua background yako kuanzia miaka 5 nyuma baadae nitaanza kuchambua tabia zako na aina ya kazi unayofanya na ukubwa wa mshahara wako na kama unahonga sana au ni mlevi pia nitajua nikashajua haya yote ndio baadae nitakuita nikupe hiyo elfu 5.
Sasa kutokana na hii tabia muda mwingine watu hunichukia mtaani na kuniona kama mkoloni.
 
D

Dah mkuu,in my opinion ni wazi hayo maneno yamekuathiri sana na na huenda vile unavyojitathmini kama mtu kumebase kutokana na hayo maneno uliyokuwa ukiambiwa mara kwa mara,kwani mkuu ni kweli wewe uko kulingana na hayo maneno? maana hata nikiangalia signature yako mmmhhhh
✌️
 
Msinenee watoto wenu maneno mabaya yanaathiri sana.
Sasa nitafanyaje mkuu nishazoea to be as my signature

Duh aisee mkuu,maneno yako yanaum yaani mpaka ndani kabisa aisee,

kwanza am so sorry about that,ni experience mbaya sana mkuu,

lakini mkuu kwani mpaka sasa hujaachieve chochote kikakufanya uwaporrove wrong wote waliokuwa wakikusemeaa mabaya?

au huwezi fanya chochote ukihofia au kuamini hutaokaa uachieve kwa kuwa wewe ni damu ya kunguni?

ushawahi kujaribu kuwa kinyume na majina ambayo umekuwa ukipewa ulipokuwa ukikua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom