Fadhili Nkuru mkuu wa wilaya niliyempenda sana

Pale mwembe Mauwa hakuna tatizo mkuu.
Tatizo lipo kwa wachimbaji wenyewe, kwakua wanajua kuendesha wakiwa mule mgodini, basi wanajiona ni madereva tayari. Wakisha lewa pale Half London, wanachochea speed wakiwa wanaelekea Bugarama na Ilogi, wakifika mwembe Mauwa na zile Rasta na Blind Corner, hapo lazima magari yao ya mikopo yawatoe barabarani.
Then wanaanza kutafuta mchawi... tehteehhh
Mkuu wiki mbili zimepita kuna kichwa kimeenda tayari. Pale nikiwa kwenye bodaboda huwa nasali kimya kimya haiwezekani rasta ziwe za hapo tu na sio zile za kutoka Nambanne Bugarama kwenda Ilogi.
 
Mkuu wiki mbili zimepita kuna kichwa kimeenda tayari. Pale nikiwa kwenye bodaboda huwa nasali kimya kimya haiwezekani rasta ziwe za hapo tu na sio zile za kutoka Nambanne Bugarama kwenda Ilogi.
Pale namba nne ni eneo hatarishi kwasababu ndio makutano ya down kutokea Ilogi na Bugarama, hivyo pale ni hataraishi kwasababu ndipo eneo ambalo miteremko hukutana kutoka pande mbili. Kwamaana hiyo, maranyingi vijana wengi huserereka na kutirika pasipo kuwa na kumbukumbu kwamba pale huwa pana mkito ambao husanabisha kari iyumbe ama kuvunja na kuharibu miundombinu ya sehemu ya chini mbele ya gari, sababu ambayo pia huweza sababisha gari ianguke.
Pili kwenye lile bonde kuna rasta nyingi sana kutoka pande zote mbili, pia kumbuka vijana wanakua mwendo mkubwa kutokana na miteremko ile, hivyo wanapo karibia daraja, kawaida gari hukosa uelekeo kwa kutokana na mtikisiko ulio sababishwa na Rasta na pia mwendo Kasi.
Sababu hizo ni lazima ajali ziendelee kutokea tu kama vijana hawata badilika.
Mwembe Mauwa pia chanzo cha ajali ni sababu kama nilizo elezea hapo juu, tofauti tu nikwamba pale hapana bonde/miteremko, bali pale mwembe Mauwa pana Kona ya duara ambayo huwadanganya sana vijana kana kwamba yupo kwenye barabara nyoofu, ukiongeza na Rasta, lazima mkufe tu kama hamta badilika.
 
Pathetic. asikate tamaa Mungu ana mipango yake
Jamaa ni professional, ki music yupo vzr as long as hakuacha kazi ofcn na kwenda kupiga rhumba saa za kazi.

Siamini issue kama ni hii tu, tunajua watu wa visasi. Kama wanagombea, sasa iweje atumbuliwe mmoja ?
Tuachane na hizi akili za kijima kuwa kiongoz hawezi vaa kaptura weekend, au kucheza mpira, golf, basketball, ogelea nk. Hawa nao ni binadamu, wana familia na watoto na SIO lazima kuwa mnafik kama yule anaejifanya kulala na ilani wakati yy mwenyewe ana history ya uhalifu na duniani kwingine hasingepewa kabisa wizara km hiyo !!

Hata mm, siwezi lazimishwa kuacha simu on usiku, lazima nilale nitulize kichwa na kuamka fresh. Wasiolala ndo hao waropokaj ropokaj na kusahau mambo yanaendeshwa kwa misingi ya sheria na kusaini treaties flan za kimataifa sio sawa na kusaini kadi za mialiko !!

Ila huyu kwa vile ni mtu wa karibu na Mwigulu, inawezekana kabisa ndo yale yale tuliyozoea..!!
 
Majungu na fitina zimemtoa mkuu wetu wa wilaya. Hakuna lingine
 
Back
Top Bottom