Bittah
Senior Member
- Jul 14, 2018
- 135
- 37
omba unaweza kupata,o level physics ulipata ngap?
Nilipata C physics olevel
omba unaweza kupata,o level physics ulipata ngap?
Kozi ni Degree Program (Bachelor) ila faculty inajumuisha kozi zote zenye maudhui yanayofanana...mfano:kuna Faculty of Science, Humanities, Busness, Faculty of Education n.kKw
Kwa kiswahili si ndio kozi
nenda kajaribu kara nursing pale st john dodoma naimani utapata kwa degree kutokana na hiyo C yakoHivi mwenye two ya 12 biology C physics E na chem D anaweza soma medical laboratory
Pamoja sanaAaanh asante kwa kunielewesha
Asante kaka je Bugando ? kwahyo niombe nursing niache medical laboratory?nenda kajaribu kara nursing pale st john dodoma naimani utapata kwa degree kutokana na hiyo C yako
aply utapata,ata vyuo vyenye competion kubwa apply tu.maana zinatokaga Bach ata tano inamaana kuna wengine wanapangiwa na hawatoenda wanakwenda kwingineNilipata C physics olevel
jaribu na bugando nursing sio MD anza nursing medical lab ni competition ila nursing nadhani hata ajira ni poa na iterms of salary pia (nahisi) ila jaribu na program nyingine ukiachana na za afya maana akili za wanafunzi wa PCB wao ni MEDICINE muhas au pharmacy na kama PCM anawaza engenering UDSM na unakuta hana point na yeye anaelewa ila anakaza mshipa wa ubongo kwa hiyo nikutakie application njemaAsante kaka je Bugando ? kwahyo niombe nursing niache medical laboratory?