Kasome foundation Open Universty ili uqualify kuendelea na dgree mwakaniNimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Andika ufaulu wako wa kila somo ili washauri waone kama umefikia point 4 kwa masomo mawili. Utapata ushauri mzuri tu.Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Kama una DDF apoo unaweza kwenda vinginevyo jiandae kuhastle kama n mtoto wa mkulima,,,,Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
omba unaweza kupata,o level physics ulipata ngap?Hivi mwenye two ya 12 biology C physics E na chem D anaweza soma medical laboratory
unajua maana ya faculty?Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCBPCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
Hapo degree haiwezekani kijanaSijapata point nne nina tatu