Siku moja tajiri aliamka na kukuta chakula mezani kwake ila hana hamu ya kula akasema "em nikatembee nje ya nyumba labda ntapata njaa" ila nyumba nyinginge maskini kaamka ana njaa ila hana chakula naye akasema "em niende nikatafute chakula"katika kuzunguka zunguka akamwona sungura ndani ya fensi ya nyumba ya yule tajiri basi akajitosa,ndo msosi huo atafanyaje.Baada ya kuingia na kumvizia yule sungura ghafla akabambwa na yule tajiri,tajiri akamuuliza maskini " what are you doing in my fence "masikini akajibu " I am looking for food to satisfy my apetite" Yule akacheke kisha akasema " I am looking an apetite to satifsy my food" kisha akamwamuru aendelee kuwinda na yeye akaendelea kutafuta njaa yake.
Siku hizi mtindo wa Darisalama!... Wakitoka kazini tu, ndani ya physical exercise gear wakikatiza foleni na viguo vimebana!... Wengine mabosi wetu tunawamezea mate tu tunabaki "Ayaah! Chura lile!"... Kisa, wanatafuta appetite, wana-digest food!... Aya bhana!...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.