Fact that will blow your mind!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,402

1475928870798.jpg
 
Soma historia ya Nazi Germany. Soma The Nurenmberg Trials, utaelewa sababu.
Yaani zile mahakama baada ya WW2, ziliweka kanuni kuwa ukitiii amri ya boss/ kamanda wako ambayo ni irrational, basi utawajibika mwenyewe na haitakuwa utetezi kuwa nilifanya hivyo kwa amri toka juu. Nawahurumia polisiccm ambao mara nyingi utasikia hii ni amri toka juu kuzuia mikutano ya hadhara, yakitokea mauaji wajue kanuni itawatafuna wao wenyewe wahusika wa mauwaji. Yule afande aliyetii amri ya Zombe kuua wale raia ndio maana alikimbia na mpaka leo anaishi maisha ya kujificha.
 
Ume capture the essence of The Nuremberg Trials vizuri sana

Yani kama kuna kitu kimoja tu unataka kushika kama summary ya Nuremberg Trials basi ni hicho.

Tatizo polisi wa bongo hata Nuremberg Trials hawajawahi kuzisikia.
 
Back
Top Bottom