Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,831
- 38,720
Wakaqapige 2 majibu yatapatikanaIran bado hana uwezo wa kupambana na jeshi bora la Marekani linalojitosheleza kisilaha,kiteknoloji,uzoefu na mafunzo.Ukweli ni kwamba Marekani ni kama Mlima Kilimanjaro na Iran ni kichuguu.
Iran bado hana uwezo wa kupambana na jeshi bora la Marekani linalojitosheleza kisilaha,kiteknoloji,uzoefu na mafunzo.Ukweli ni kwamba Marekani ni kama Mlima Kilimanjaro na Iran ni kichuguu.
Ukweli ni upi?National interest waongo
Kipi na kwanini?Kinachofanywa na marekani sio cha kushabikia kabisa.
Hawa jamaa wanazivuruga nchi nyingine kwa maslahi yao nasi tunashangikia? Taifa la Marekani linaendeshwa kwa uongoKipi na kwanini?
Hizi mambo m2 kama mm naziitaga twaarab 2 mkuu