Fact Checking: Madai kuwa Dr. Mwele alipewa kazi UN wiki moja baada ya kutumbuliwa siyo ya kweli. Je, aliyemzushia amuombe msamaha?

Mtu anapopewa nafasi kubwa kama hiyo huwa hatangazwi hadharani hadi baadhi ya protokali zikamilike. Sasa yawezekana wewe mleta mada unaangalia tarehe aliyotangazwa na hao mabeberu lakini hujui kabla ya hiyo tarehe ya kutangazwa offer letter alipata lini. Na hapo ndipo linakuja suala la kupewa kazi week moja baada ya kufukuzwa.
 
Acha utani wewe.
Hata kama ingekuwa kweli, Rais amuombe samahani Mwele?

Acha siasa za bei rahisi
Kwa hiyo Rais kuwa muongo ni sawa? Huoni kujikita kadanganya na watu wanaujua ukweli ni AIBU kubwa na kikatiba ni kuwa kadhalilisha taasisi ya urais?
Tumefika mahali tunakuwa na Rais comedian? Hapana hii ni aibu sana
 
Wakati ananunua alikuwa rais? Wacha kejeli na mzaha wewe, shadidia Chadema huko msikokuwa na Amani.

..nimeuliza alipokuwa Waziri.

..aliuza nyumba za serikali.

..pia alinunua kivuko kibovu.

..na aliunga mkono sheria za madini na gesi.

..Je, alikuwa FISADI?

..Je, alikuwa MSALITI?

..Je, alikuwa KIBARAKA?

Cc tindo

.
 
Mtu anapopewa nafasi kubwa kama hiyo huwa hatangazwi hadharani hadi baadhi ya protokali zikamilike. Sasa yawezekana wewe mleta mada unaangalia tarehe aliyotangazwa na hao mabeberu lakini hujui kabla ya hiyo tarehe ya kutangazwa offer letter alipata lini. Na hapo ndipo linakuja suala la kupewa kazi week moja baada ya kufukuzwa.

..huwa haichukui muda kutangaza.

..wakitoa offer na mhusika akiikubali mara moja wanatangaza kwenye UN System.
 
Acha utani wewe.
Hata kama ingekuwa kweli, Rais amuombe samahani Mwele?

Acha siasa za bei rahisi

Kwanini Rais hawezi omba msamaha?
2009 Rais Obama alimteu Thom Duschle kuwa Waziri ktk serikali yake na lkn gazeti la New York Times likaripoti kama Senator Duschle ana tuhuma za kukwepa kulipa kodi!

Ilaja gundulika ni kweli na Rais Obama akaonba msamaha kwa taifa kqa kutofanya vetting za kutosha!

Rais Magufuli hakufanya uchunguzi wa kutosha na anastahili aombe msamaha !
 
Mtu anapopewa nafasi kubwa kama hiyo huwa hatangazwi hadharani hadi baadhi ya protokali zikamilike. Sasa yawezekana wewe mleta mada unaangalia tarehe aliyotangazwa na hao mabeberu lakini hujui kabla ya hiyo tarehe ya kutangazwa offer letter alipata lini. Na hapo ndipo linakuja suala la kupewa kazi week moja baada ya kufukuzwa.
Je, ikibainika alipewa kazi wiki 2 au 3, utasemaje? Kumbuka neno muhimu ni wiki moja.
 
Mimi nilijua unataka kusema hakupata kazi UN. !
..Dr.Mwele Malecela alitumbuliwa mwezi December 16, 2016.

..Na habari kwamba amepata kazi UN-WHO zilitangazwa April 3, 2017.

..madai kwamba Dr.Mwele Malecela alikuwa anatumiwa na alipewa kazi wiki moja baada ya kutumbuliwa siyo ya kweli.

..nashauri aliyetoa madai hayo amuombe msamaha Dr.Malecela.
 
Back
Top Bottom