Matthew 16:26What is the measure of being near or not near to God?? THE HOTTEST PLACE IN HELL IS RESERVED FOR THOSE WHO ARE NEITHER HOT NOR COLD.
Matthew 16:26What is the measure of being near or not near to God?? THE HOTTEST PLACE IN HELL IS RESERVED FOR THOSE WHO ARE NEITHER HOT NOR COLD.
roho inaniumaaaa sanaaa unavoongea maneno kama hayaaaa. Mwenyewe anakuona Life saver kumbe wewe ushamsoma flops zake zote anavojiia expensive na Tecno, weave ya 10,000, nguo asante mzungu. Hahahaaaa! Yani mimi na hivi vyote i had the balls za kumuomba mtu 1m. Hahahaahaaaaaaaaa! Wengine walinipa sijui kwa kunionea huruma sijui. Kweli ujana maji ya moto. Unajiona wewe ndo wewe kumbe unajidhalilisha tu.
Nipo....unadhani nitaenda wapi na baridi hili.
Duh!! Huu urembo unawapeleka resi hawa dada zetu can you imagine mdada wa 35+ anaenda kuchanua miguu ili afanyiwe waxing na kabinti ka 20's!? Amakweli ukitaka cha uvunguni shart uiname. Teh teh teh.....Nipo....unadhani nitaenda wapi na baridi hili.
Ila lara 1 kalenga sana hii mada.....daadeki zake.
30+ hatujui nyembe wala jivu....unakuta uwanja umefagiliwa mpaka vijanijiani vya kuokoteza hakuna, ila 30- shida tu, hata kwa 10 watakubali ili mradi akanunue pants.
Ila mwekundu naona unasifia sana ila jua sidanganyiki ng'oooooooo!!!!!
Ndio...ni mwanamke mwenzangu.Duh!! Huu urembo unawapeleka resi hawa dada zetu can you imagine mdada wa 35+ anaenda kuchanua miguu ili afanyiwe waxing na kabinti ka 20's!? Amakweli ukitaka cha uvunguni shart uiname. Teh teh teh.....
��UMEWASILISHA HOJA MURUA ILA SIDHANI KAMA ATAKUELEWA. Wanawake wa aina yake wamejidhatiti kujilinganisha na wanaume wakidhani ndo wanakweza hadhi zao ila ukweli usemwe nothing shuts down a man'sIla lara 1 Kuna angalizo sijui niliwekeje,but Kuna some women huwa wana katabia Kakupreach 'umiss independent' jambo dogoo mtu anawaka ohh me miss independent usinibabaishe blah blah
Sijui jmn ila wanaume wanapenda wawe km wafalme yani raha yake umuadmire wee,Uwe unamtakaa wee
Hata km mwanamke una vyako naona sio vzuri kuhubiri/kuvitumia kumnanga mwanaume wako,being a woman also means being soft to ur man
Over km mmenisoma...